Unajua nmb ukiiuza hupati tilionhuyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...
mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.
mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.
ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
Mwandiko huu si wa tajiri naja na ushahidihahaha aiseee hahaha ukitaka kugombana na mtz we jisifu tajiri broo mi ni tajiri haswa nina pesa chafu pesa yangu nikiipanga njian toka dodoma hadi u.s.a kwa njia nne afu mwez uliopita kuna wazir alikuja hom akidai niikopeshe serikal imalizie mrad wake wa lile bwawa la umeme sijui la wapi lile nikawaambia ngojen kwanza niwatimizie nmb bank maana nao walikuja kuomba mkopo kwangu baba mi ni tajir haswa
Ushahidi kuwa mr pipa hana helaMwandiko huu si wa tajiri naja na ushahidi
Soma comment namba 242Si ndo hapo Tajiri wa 5b anashinda JF? Huyo jamaa ameamua kuota ndoto za mchana. Ana 5b anashinda JF na kutoa vichambo kama yupo uswahilini.
Hana utajiri wowote unakuta anashindia mihogo na chai ya rangi kikombe kimoja. Unajua watu sahizi wapo na matatizo ya kiasaikolojia.
Soma comment namba 242Wewe kama ID ni fake sasa hata hili la kujiita tajiri nayo ni fake
pesa na mwandiko vinahusiana nini mkuu? Nina jamaa yangu hata kuandika hajui lakin ana maduka na pesa hatar ngoja nikupe mfano kuna tajir mmoja wa mbinga maarufu kwa jina la MCHAFU yule jamaa ana semtrail 30 lakin jins alivyo huwez amin ukiangalia simu anayotumia ni nokia zile za zaman kafunga na rababend, bado sijasema yule jamaa kama amepata trip za kubebelea maind deleva ni yeye kwenye roli nne hapo nazan hujanielewaMwandiko huu si wa tajiri naja na ushahidi
Utajiri wa hivyo ni 100% wa ushirikina hasa matajiri wa mikoani wengi ni magumashi! Sio ule wa Kutoka kwa Mungu!pesa na mwandiko vinahusiana nini mkuu? Nina jamaa yangu hata kuandika hajui lakin ana maduka na pesa hatar ngoja nikupe mfano kuna tajir mmoja wa mbinga maarufu kwa jina la MCHAFU yule jamaa ana semtrail 30 lakin jins alivyo huwez amin ukiangalia simu anayotumia ni nokia zile za zaman kafunga na rababend, bado sijasema yule jamaa kama amepata trip za kubebelea maind deleva ni yeye kwenye roli nne hapo nazan hujanielewa
Kwamba huyu mwamba alikuwa ana uwezo wa kukopeshwa Tzs 1 trillion yaani around $500m, na je NMB ina uwezo huo? Aisee kuna matajiri wakubwa sana kwenye nchi masikini.huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...
mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.
mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.
ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
mr pipa, mr pipa, you're the beast brother lakini hata hizi mnatumia ndumba police wasiwanyake, bongo bila ndumba mambo hayaendihata ukiambiwa hutoweza fanya nakupa tu hesabu ndogo bangi gunia moja ni milion 3 had mbili unusu heka inatoa gunia kumi mara heka 30 junia miatatu wateja wapo hata ukiwa na gunia elfu tatu nakuletea mpaka mlangon ukiuza junia miatatatu kwa milin tatu ni sawa na milion900000000 injinia soma hy ngap hiyo tisin au mia tisa, sasa kuna wana wanafikisha junia elfu tatu wakiuza wanalamba mpaka bilion 80 vp bus ngap hapo kwa msimu au roli ngapi hapo haya nishakupa njia haya toka kimaisha hahaha kama kesho hujawekwa ndani mtaita watu wachawi kumbe wana biashara zao za magendo je unazan kuna mtu atakwambia ishu kama hizi? zaid ya kuambiwa anauza..... je ww kama wewe unaweza kufanya ishu kama vp leo nikikwambia namilik vitu vya bilion5 unaweza niamin hahaha msije mkanifunga acha niwe chawa je nikupe mchongo mwingine mana si wataka nikutobolee siri nina michongo ming had ya matrilion ya pes
Kumbe nkuu upo Mpanda, maeneo gani nije kukopa maana Hali tete na hii NjaanuaryPrakatatumba abaabaabaa tajiri la Mpanda-Katavi
Nimechekaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ni maskini waliochangamka,, kama huamin ngoja madereva wagome mwezi tu kama hujakaa nae bar za pombe za machicha kupiga komoni siku ukisikia madereva wamegoma we andaa buku tano mpitia abood na shabibi mwende kwenye ulanzi kama hajakushukuru mpaka unakufa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akiajiri wengin wakwanza wataenda kwa waganga wakawaroge wapya mwisho wapya wanaona giza njian wanatumbukiza mabasi mto wami kaa kidogo abood na shabibiy wanapigiwa simu na bank arudishe mkopo, aliokopa wanajikuta hawana hata mia bank inauza nyumba anayoish na bado mkopo hata robo ya malipo haujafika kinachofuata anapata presha the gooo end over
Ni Allyen mkuu sio Allien.Naona unapambana na allien
Songwe hakuna mbwa anamgusa Manyanya mkuu,,,afu akina IlasiDaaah sikutegemea uzi utakuwa mwepesi hivi, kama hujatembea au huna taaria za kutosha ungepiga kimya.
Mfano mby
Kuna kina saul
Achimwene
Machemba
Tughimbe
Nasoma
Mkulu nk.
Huko Songwe kuna kina
Ntanyinya nk
Na yule mmiliki wa paradise vipi au kafulia siku hizi?Daaah sikutegemea uzi utakuwa mwepesi hivi, kama hujatembea au huna taaria za kutosha ungepiga kimya.
Mfano mby
Kuna kina saul
Achimwene
Machemba
Tughimbe
Nasoma
Mkulu nk.
Huko Songwe kuna kina
Ntanyinya nk