MWANZA
=CMG, Christopher Mwita Gachuma huyu mzee ni balaa, ana share Nyanza Bottling, (Coca Cola ya Mwanza), New Mwanza Hotel, Na vingine vingi.
=Sunpharm -Mzee Makongoro, anamiliki Midland Hotel na vingine kibao
=Zongii =Huyu ana duka la plumbing kubwa kuliko yote Mwanza
=Zuberi =Huyu ni tycoon kwenye usafirishaji, mabasi na Malori ya kutosha
= Babu, huyu mwarabu yupo kwenye biashara ya mafuta, na pia ana wadhifa huko kwenye Chama ana mawe balaa
Kuna Wahindi wengi Sana Mwanza wana pesa za kutosha,
Tembelea Capri point uone mahekalu yao, Masaki haioni ndani 😀