Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

ni maskini waliochangamka,, kama huamin ngoja madereva wagome mwezi tu kama hujakaa nae bar za pombe za machicha kupiga komoni siku ukisikia madereva wamegoma we andaa buku tano mpitia abood na shabibi mwende kwenye ulanzi kama hajakushukuru mpaka unakufa
Mkuu utajiri ni mali unazomiliki ikiwa ni pamoja na biashara nzima. Wengi mnakataa biashara ya mabasi kwa sababu mnaamini likipata ajali shughuli imekwisha na wakati kuna bima na zipo securities nyingi kulinda biashara sio tu ya mabasi hata hotel.
 
hao bima ndio kabisaa wapo kibiashara usitegemee ukaangusha roli au bus kuanzia tano ukalipwa utapigwa danadana mpaka ukome labda kama mwenye mabus ni waziri,, nakumbuka 2022 coast yangu ilipata ajar mbaya sana ikawa haifai tena nikaenda bima wakaja na mavipimo yao kumbuka mi mteja wao mwaka wa kumi lakin kilichotokea nilipigwa danadana mpaka nikaamua kupima screpa toka hapo nikawaambia tusijuane saiv ndinga zangu zikipata ajari hata ya kukwanguka rangi siku ya pili naleta chuma mpya afu naipitisha ofis za bima kuwalingishia bas mkuu wao utakuta anatoa machozi ya uchungu kumkosa mteja bas nampa buku mbili ananyamaza na kumwambia mkome kushindana na mabos ananiamba msamaha namsamehe
 
hata ukiambiwa hutoweza fanya nakupa tu hesabu ndogo bangi gunia moja ni milion 3 had mbili unusu heka inatoa gunia kumi mara heka 30 junia miatatu wateja wapo hata ukiwa na gunia elfu tatu nakuletea mpaka mlangon ukiuza junia miatatatu kwa milin tatu ni sawa na milion900000000 injinia soma hy ngap hiyo tisin au mia tisa, sasa kuna wana wanafikisha junia elfu tatu wakiuza wanalamba mpaka bilion 80 vp bus ngap hapo kwa msimu au roli ngapi hapo haya nishakupa njia haya toka kimaisha hahaha kama kesho hujawekwa ndani mtaita watu wachawi kumbe wana biashara zao za magendo je unazan kuna mtu atakwambia ishu kama hizi? zaid ya kuambiwa anauza..... je ww kama wewe unaweza kufanya ishu kama vp leo nikikwambia namilik vitu vya bilion5 unaweza niamin hahaha msije mkanifunga acha niwe chawa je nikupe mchongo mwingine mana si wataka nikutobolee siri nina michongo ming had ya matrilion ya pes
Kiukweli bangi inalipa sana niliwahi kulima ufuta halafu katikati ya shamba nikapanda bangi kama robo heka hivi aisee roho ilikuwa juu ila nilikuja kupata hela nyingi mno
 
Kiukweli bangi inalipa sana niliwahi kulima ufuta halafu katikati ya shamba nikapanda bangi kama robo heka hivi aisee roho ilikuwa juu ila nilikuja kupata hela nyingi mno
Sasa uliogopa nini ndugu yangu mbona mambo madogo tu ukishikwa ajali kazini, wenzio tunalima mpaka heka 40 na tumeenda kwa mganga mamwela wakikagua wanaona shamba limeshamiri majani, wakiangalia vizuri wanaona nyoka aina ya koboko anawafukuzia wao wenyewe wanatoa nduki ukifika muda wa kuvuna natoa roba 450 wakenya haoo wanakuja hadi home siku ya pili naagiza lori zangu tatu nazipark home oya mzee kama huwezi kilimo hiki lima tumbaku ukipata robota mnaitaga magunia lako moja milioni yako moja na laki nane huku kwenye ngada mtuachie sisi wachawi ambapo ukipakiza kwenda kuuza roli inanukia wali nazi tu.
 
sasa uliogopa nini ndugu yangu mbona mambo madogo tu ukishikwa ajar kazin wenzio tunalima mpaka heka 40 na tumeenda kwa mganga mamwela wakikagua wanaona shamb limeshamili majan wakiangalia vizur wanaona nyoka aina ya koboko anawafukuzia wao wenyewe wanatoa nduki ukifika muda wa kuvuna natoa roba 450 wakenya haoo wanakuja had hom siku ya pili naagiza loli zangu tatu nazipark hom oya mzee kama huwez kilimo hiki lima tumbaku ukipata robota mnaitaga magunia lako moja milion yako moja na laki nane huku kwenye ngada mtuachie sisi wachawi ambapo ukipakiza kwenda kuuza roli inanukia wali nazi tu
Kiukweli bangi nakubali kabisa inalipa vibaya sana ila nikiwaza pale nitakapodakwa mara baada ya kunichoma watu ndio hofu inazidi,kuna dogo alipiga milion 21 mwaka juzi na nikweli alikuwa anawatumia waganga mno kuliwekea ulinzi shamba,Ila je nitajuaje huyu ni mganga wa kweli kuwa akiweka dawa zake anawapoteza maboya polisi na raia wema?
 
kama upo seriou nakuonesha mganga huyo chuma haswa ndie ninae mtumia hakuna raia wala polis wala ngedere wala nyan ataekanyaga shamba lako bei ya huyo mwamba ni buku 80 tu pm usije baba hazifunguki nakupa maelezo hapa hapa hatujui mtu ma id yenyewe fek haya
 
Nitajuaje kama hizo dawa kweli yaaani nitapimaje?
 
panda ikiota chukua polis wawil kawaoneshe zimbo afu waambie umeona nin shambn kwangu, broo unazingua ujue
Kuna dogo wetu alikuwa msimamizi wa kituo fulan cha mafuta hapa mtwara... akamjaza mimba mwanafunzi tukamshauri akimbie yeye alichokaamua alienda kwa mganga,Na mganga akampa dawa akamwambia usikimbie wewe tulia tu endelea na shughuli zako hakuna wakukukamata wala nini ila muda huu tunapoongea dogo amefungwa miaka 16
 
mwana anazingu sana kwenye neno mafanikio tumia mbinu zote ila mbinu inayoitwa mganga toa, watu weng wanasema utajir wa mtu ni wa kichawi hakuna kitu kama hiko kabla sijaanza miliki mali nimelikuwa nikiamin watu wanafanikiwa kupitia uganga bas nikazunguka nchi nzima na hata nje kutafuta waganga na sikufanikisha lolote na hakuna mganga maaruf wa hapa nchini utakae nidanganya bas nikaanza ukaribu na tajir mmoja ndio huyu ottawa lengo nikitaka anipe conection ya mganga ila huez amini jamaa alinipa somo pasp matumiz ya mganga na nikalifanyia kaz leo hy na mm ktk matajir 30 wa mkoa ukiwataj mm utanikuta wa 23 na lengo niwe wa kwanza
 
Una uhakika wewe ni tajiri? Kwasababu hakuna tajiri anaejisifu hata kidogo nina mashaka mno
 
Back
Top Bottom