Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Musukuma -Geita
Mimi-Hapa

Nasikia Musukuma yupo vizuri sana tena sanaa...kuna siku niliona youtube ana appartment zake kama kijiji acha kabisaaa na zote kapangisha na mfugaji mkubwa sana wa ngomba pia na ana mabus mengi sanaaa
 
huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...

mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.

mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.

ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
Trillion unaijua au unaisikia?Mo dewji alitaka mkopo wa Tsh. Bil 400 tu bank za Tz zote zikashindwa kumpa mpk ikabidi aende S/Africa ambapo mabenki kadhaa yalijiunga(consortium)
na kumpa mkopo huo.

We unakuja kuongelea Tsh Trillion.
 
Uchumi umeshikiliwa na waarabu na wahindi
Sasa mkoa kama Shinyanga kuna tajiri gani zaidi ya waarabu matajiri wa Mabus ya Ally's Star
Na mzee Mohamed wa Mabus ya Mohamed Trans sema nae alipitia mitihani ya kufilisiwa
Fresho,Gaki hao Ni waarabu?
 
Nasikia Musukuma yupo vizuri sana tena sanaa...kuna siku niliona youtube ana appartment zake kama kijiji acha kabisaaa na zote kapangisha na mfugaji mkubwa sana wa ngomba pia na ana mabus mengi sanaaa
Ila bus zake Ni Chaka mbaya mbovu,tuwe wakweli.
 
Yah mwamba yupo vizuri,Ile ford yake kaka co kitoto,hv mbeya Kuna chuma kali zaid ya Ile anayotembelea Achimwene?
Nimekuwa hapo Mbeya kwa muda fulani sijawahi kuiona

Nasikia mtoto wa full dozi mwenye kiwanda cha kahawa kule Mlowo, Mbozi ana FORD ni balaa ila sijawahi kuiona
 
Mikoa ipo mitatu tu au hiyo ndio yenye matajiri kwa Tanzania? Au Kuna mmoja una interest nae Kati ya hao ulitaka watu wa JF wafahamu.
Ndoto tuote ila za kumshirikisha mtu tuwe tunachagua
Huenda ni mwenyeji wa mikoa hiyo tu kwani wewe matajiri wa mikoa yote unawajua? Unamjua Kitana? Unamjua Njiwa pori?
 
Nimesoma huu uzi..nacheka tu mwenyewe...binafsi yangu...ukimtaja tajir afu umiliki wa mali zake ukawa ni mabasi...kama hana umri zaid ya miaka 75...hyu kwangu sio tajiri...😀😀 labda hamuijui biashara ya mabasi...!!! Ila kama anafanya manufuctrng,, real estates..tena inategemeana na locations...Hotels....oil and gases.. afu na ka dividends kangu kupitia bank x kila mwaka ya mwez wa 6...naingiziwa Tsh. 3B ...hyo ni faida kutokana na hisa nazomiliki...aisee hapa nikiitwa tajiri sina ubaya kwakwel...ni kukaza tu kila kitu kinawezekana...kikubwa afya..
 
Tupe Fursa mkuu
 
Ungekaa kimya usingejilikana kuwa huna exposure kabisa. Tz yoote mikoa 3 unaijua na hao ndio umeona matajiri utakuwa wa Mbeya ndani ndani huko Mwalwise🏃‍♂️🏃‍♂️😂
 
Huenda ni mwenyeji wa mikoa hiyo tu kwani wewe matajiri wa mikoa yote unawajua? Unamjua Kitana? Unamjua Njiwa pori?
Sasa nikiwajua itabadilisha nini kwenye mapambano yangu. Namshangaa huyu mwenye kuhesabu matajiri wa mikoa ya Tanzania halafu anaishiaa kuleta waikoa mitatu tu
 
Back
Top Bottom