Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

2010 nilikuwa dereva wa hayo mabasi na tuliyatoa sauth kupitia border ya mbeya mpaka songea, kuhusu nyumba hata kesho tukienda songea nakuonesha moja baada ya nyingine coz ni mtu wa jiran sana na huyu mwamba namfaham nje ndani kuanzia watoto wake nyumban kwake mkewake nk mpaka chumba anachoifadhia pesa mpaka chakula anachotumia na ni muda gan analala na muda gan anaamka, sio hayo tu mpaka watu waliomtapeli bilion mbili na kusababisha kushake kidogo kiuchumi tuje kwa feo nimefanya kaz kwake hom kwake miaka mi tano namjua nje ndani mpaka hawara zake kwahy ninaposema kitu huwa na udhibitisho navyo
Wewe utaishia kufa maskini,...vitu kama hivi havisemwi
 
huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...

mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.

mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.

ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
Unaposema trillion unamaanisha nini ni pesa au kitu kingine?
 
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.

Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.

Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani

Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments

SONGEA -

Ottawa - real estate na mabasi

Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.


MBEYA -

Achimwene - tajiri mchimba dhahabu za Chunya, Biashara yake ni mabasi, kila baada ya miezi kadhaa i kawaida kuona kazindua mabasi mapya mjini.

Sauli - Nae ni mchimba dhahabu huko Chunya, Anamiliki mabasi chapa ya Scania.

Machemba - Msambazaji mkubwa wa hardware

Maranatha -anamiliki chain ya maduka ya madawa na hospitali.

Nasoma - kijana ana duks kubwa la Hardware

Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya

MANYARA

Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
Laizer cha mtoto huko manyara, yupo David mmiliki wa Malti super brand anawakimbiza sana manyara
 
Back
Top Bottom