Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
 
Hizo nyumba 650 zipo wapi??ulizihesabu kwa macho yako au story za vijiweni??kwamba siku 7 mabasi yake yalisafirisha abiria bure Dar Songea una uthibitisho??maneno ya vijiweni mkishavuta ganja zeni mnaleta JF
 
Hizo nyumba 650 zipo wapi??ulizihesabu kwa macho yako au story za vijiweni??kwamba siku 7 mabasi yake yalisafirisha abiria bure Dar Songea una uthibitisho??maneno ya vijiweni mkishavuta ganja zeni mnaleta JF
2010 nilikuwa dereva wa hayo mabasi na tuliyatoa sauth kupitia border ya mbeya mpaka songea, kuhusu nyumba hata kesho tukienda songea nakuonesha moja baada ya nyingine coz ni mtu wa jiran sana na huyu mwamba namfaham nje ndani kuanzia watoto wake nyumban kwake mkewake nk mpaka chumba anachoifadhia pesa mpaka chakula anachotumia na ni muda gan analala na muda gan anaamka, sio hayo tu mpaka watu waliomtapeli bilion mbili na kusababisha kushake kidogo kiuchumi tuje kwa feo nimefanya kaz kwake hom kwake miaka mi tano namjua nje ndani mpaka hawara zake kwahy ninaposema kitu huwa na udhibitisho navyo
 
Sugu mtoe Mbeya anapitwa hata na kina kasisi,SS AMON nk
 
Siri ya utajiri wake ni nini? Maana matajiri wengi wa kusini huwa siri zao ni ndumba! Kwakua umesema upo jirani nae vipi siri ya utajiri wake unaijua?
 
Kutapeliwa billion mbili anashake kiuchumi huyo sio tajiri.
 
Achimwene tajiri mtoto wa Chunya.

Mabasi yake ya Achimwene ukienda kukata tiketi ya kesho siti zimeshajaa

Baada ya kupiga maokoto mwisho mwaka kala bata na mtoto mzuri kutoka jiji la matapeli Dar

Wiki 2 mrembo yuko Mbeya anakula nauli zetu tulizomchangia Achimwene
 
Huko geita kuna madogo wana hela balaa za madini..
 
huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...

mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.

mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.

ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…