Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
oya iyo Ottawa ni nyoko bro...Hizo nyumba 650 zipo wapi??ulizihesabu kwa macho yako au story za vijiweni??kwamba siku 7 mabasi yake yalisafirisha abiria bure Dar Songea una uthibitisho??maneno ya vijiweni mkishavuta ganja zeni mnaleta JF
ILa hii mikeka matreni huwa inafariji sana,ni kama mtu anaevuta madawa anavyokuwa anajihis yupo new york wakati yupo nguruka kigomaHizo ni ndoto za abunuasi kwamba yote itiki uwe na total ya 600m?
Uchawa sifanyi ata iweje. Siwez kuwa chawa
Matajiri wengi sana watz hasa kanda ya ziwa wanautajiri wa kimazingaombwe sanahuyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...
mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.
mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.
ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
yah ndio shida na ndio maana utajiri wao hauna burudani..... Hali vizuuri Hana gari Kali... watoto hawaendelez Mali.Matajiri wengi sana watz hasa kanda ya ziwa wanautajiri wa kimazingaombwe sana
Hizo ndizo mada za watu waliopigika kimaisha.Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.
Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.
Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za kimataifa, iwe ligi yetu ya watanzania wa asili.
Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments
SONGEA -
Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.
MBEYA -
Achimwene - Biashara yake ni mabasi, anazidi kuleta mafuriko ya mabasi kila baada ya miezi kadhaa
Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya
MANYARA
Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizo nyumba 650 zipo wapi??ulizihesabu kwa macho yako au story za vijiweni??kwamba siku 7 mabasi yake yalisafirisha abiria bure Dar Songea una uthibitisho??maneno ya vijiweni mkishavuta ganja zeni mnaleta JF
Chai2010 nilikuwa dereva wa hayo mabasi na tuliyatoa sauth kupitia border ya mbeya mpaka songea, kuhusu nyumba hata kesho tukienda songea nakuonesha moja baada ya nyingine coz ni mtu wa jiran sana na huyu mwamba namfaham nje ndani kuanzia watoto wake nyumban kwake mkewake nk mpaka chumba anachoifadhia pesa mpaka chakula anachotumia na ni muda gan analala na muda gan anaamka, sio hayo tu mpaka watu waliomtapeli bilion mbili na kusababisha kushake kidogo kiuchumi tuje kwa feo nimefanya kaz kwake hom kwake miaka mi tano namjua nje ndani mpaka hawara zake kwahy ninaposema kitu huwa na udhibitisho navyo
Zilipendwa hizo, Mara ya mwisho kuja Mbeya lini ?Weka na Chapaulinge, Memba, Tunyande, Andrew Midu, Fresh ya Shamba, Mafegi, Okoa, Sombrero, Safina
Kabisa, unakuta mtu anakwambia mwezi huu hauishi utamsindikiza yard kufuata gari baada ya kupiga hela za bettingILa hii mikeka matreni huwa inafariji sana,ni kama mtu anaevuta madawa anavyokuwa anajihis yupo new york wakati yupo nguruka kigoma
😂 tajiri eeh! Hii ni uongo bhanaHalf american tajiri mkoa wa kipolisi kinondoni
Ebabaaa!!! Jambo groupJamkaya
we mwamba kumbe unamjua kiundani et jamaa anamfananisha na FEO nimecheka mpaka mbavu zinauma nakumbuka walikujaga matajir wa kenya waingize share mali zao ottawa akawagomeahuyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...
mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.
mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.
ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi