Hujui kuwa wengine tulimpiga shuleMakalla sio kijana aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuwa wengine tulimpiga shuleMakalla sio kijana aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msofe amekuwa ustadh
Sikujua kuwa pacha mmoja alishatutoka! MaskiniHao mapacha mmoja alishafariki na walikuwa na pesa kwelikweli,huyu mdogo wao alikuwa mjinga mjinga tu lakini nae akaja kuwa mjanja akapata pesa nyingi za utapeli, kwa siku hizi sijui kaishia wapi, matapeli wengi walisjamili enzi za Born town,lakini alipoingia Jiwe wengi wao waliishia lupango ma dili za bandarini au madini zikaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pedeshee Samia,mama ya kodi
Pisi kali kuna yule aliyeimbwa sana na Fali Ipupa alipokuja Dar kwa mara ya kwanza Yasmine
Nakumbuka mr Nice alimtaja sana kwenye nyimbo zakesunda alivuma sana pande za arusha na mikoa ya jirani. alikuwa na pesa za kutosha, nadhani mpaka sasa bado yupo vizuri kiuchumi.wenyeji wa A-Town watatujuza.
ila hakuwa mtu wa kujimix na wanamuziki wa dansi, ndio maana jina lake lilikuwa halitajwi kwenye nyimbo.
Ndiye aliwafunga wale jamaa wa fm akademia walivyoachiwa wakatoa ile nyimbo ya wajelajela? Jela jela ni mbaayaAli kileo alikuwa uhamiaji
Alikuwa anawadaka wakongo mpk wakamua kumuimba
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani anamkumbuka pedeshee ali aurora?. maisha ya huyu jamaa yalitawaliwa na visa vingi vya utapeli na dhuruma.
halafu akaja kufariki kwa maradhi yaliyomtesa sana. inadaiwa aliowadhurumu walimpiga "msumali".
Hapo ndani ya Chuga hapoUnaujua ule wimbo
Nimepoteza kipenzi changu hapa tanzaniaaa[emoji445]
Nimepoteza mkanda wa kiuono[emoji445]
Nitarudii kwa Hidayaa[emoji445] hidayaaa hidayaaa[emoji445]
Unaambiwa Hidaya alikua ni mrembo vibaya sana enzi za uhai wake akiwa kijana
Hahaha. Mimi nilikuwa miongoni mwa waliojipanga barabara ya City Drive kuuaga mwili wa kiongozi mmoja maarufu Sana Tanzania. Mwaka 1999 Rais Mkapa akitangaza kifo cha Mwalimu, mimi nipo kikaoni napiga per diem. Matukio haya mawili yanatosha kwa wewe kukadiria mimi wa miaka gani.tulisema huu uzi sio wa watoto wa 2000 tueleweke
KABASELE YAMPANYA aliahidi kuitungia NYIMBO YANGA akirudi CONGO
sasa kipindi anazungumza hayo maneno wewe ulikuwa na miaka mingapi
Kilichoua mziki wa dansi ni bongo flevaKilivyoingia chuma pale Ikulu ndio ikawa mwisho wa hao watu. Huku ikisemekana walijipatia ukwasi nje ya mstari sahihi.
na ndio ikawa mwisho wa mziki wa dance hapa nchini hadi sasa. Maana walitegemea udhamini wa hao watu.
Ostaz Juma na Musoma....... Hivi bado yupo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapedeshe wengi wanaongezaga sifuri...akiwa na 100,000 atafanya watu waone Ana mln 100
Ova
Drugger diller huyo alishavutaMpakanjia.
Kuna siku tuko new msasani clubNdiye aliwafunga wale jamaa wa fm akademia walivyoachiwa wakatoa ile nyimbo ya wajelajela? Jela jela ni mbaaya