Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Sikujua kuwa pacha mmoja alishatutoka! Maskini
 
Nakumbuka mr Nice alimtaja sana kwenye nyimbo zake
 
nani anamkumbuka pedeshee ali aurora?. maisha ya huyu jamaa yalitawaliwa na visa vingi vya utapeli na dhuruma.

halafu akaja kufariki kwa maradhi yaliyomtesa sana. inadaiwa aliowadhurumu walimpiga "msumali".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaujua ule wimbo
Nimepoteza kipenzi changu hapa tanzaniaaa[emoji445]
Nimepoteza mkanda wa kiuono[emoji445]
Nitarudii kwa Hidayaa[emoji445] hidayaaa hidayaaa[emoji445]

Unaambiwa Hidaya alikua ni mrembo vibaya sana enzi za uhai wake akiwa kijana
Hapo ndani ya Chuga hapo
 
tulisema huu uzi sio wa watoto wa 2000 tueleweke

KABASELE YAMPANYA aliahidi kuitungia NYIMBO YANGA akirudi CONGO
sasa kipindi anazungumza hayo maneno wewe ulikuwa na miaka mingapi
Hahaha. Mimi nilikuwa miongoni mwa waliojipanga barabara ya City Drive kuuaga mwili wa kiongozi mmoja maarufu Sana Tanzania. Mwaka 1999 Rais Mkapa akitangaza kifo cha Mwalimu, mimi nipo kikaoni napiga per diem. Matukio haya mawili yanatosha kwa wewe kukadiria mimi wa miaka gani.
 
Kilivyoingia chuma pale Ikulu ndio ikawa mwisho wa hao watu. Huku ikisemekana walijipatia ukwasi nje ya mstari sahihi.

na ndio ikawa mwisho wa mziki wa dance hapa nchini hadi sasa. Maana walitegemea udhamini wa hao watu.
Kilichoua mziki wa dansi ni bongo fleva
 
Ndiye aliwafunga wale jamaa wa fm akademia walivyoachiwa wakatoa ile nyimbo ya wajelajela? Jela jela ni mbaaya
Kuna siku tuko new msasani club
Kwenye buzuki,wakongi kubao
Ali kileo alilileta karandinga
Pale ebwana watu walitafutana mule
Wakongo walitoka mbiooo
Alikuwa anajua kutengeneza mazingira,sema alikuja zinguaga wakamtupa kusini huko ndy kupotea
[emoji1]
Mara ya mwisho nlionana naye mtwara....muda sana nlikuwa naekea msumbj(sidadi)akawa anasema nyie watoto wa kjnondoni janjajanja sana
Mazabe tu,hatukutaka kuuweka sana kwake aside akatugeuza dili [emoji1]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…