Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Hahahah Kino bana sijui kwann nilihamaga ningekuwa na connection kibao nilikuwa nakaa Kino wasanii kibao walikuwa wanakuja mitaa yetu wakina shwari.Tid.robby sijui yupo wap hapo biafra tumepanda sana bembea tunawafundisha watoto wa kishua kubembea kuendesha vigari vya michezo humo ndani

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Ibunga miyeyusho anachapa bakora kama tuko shuleni kumbe tuition, nilipiga wik moja nikahamia kwa Dani mlokole kifa mburahati
 
Ndio maana nimeandika pia nashangaa imekuwaje aendeshe taxi lakini hajui kuandika wala kusoma???Mie ndie naemsomea na kumuandikia barua nyingi sana hadi za uhamiaji zote. lakini ni kweli hajui kuandika na kusoma na driving license anayo na gari anaendesha mijini anazunguka mwenyewe !!! ndio ujue hawa jamaa ni wajanja wajanja sana.
 
Barabara za mamtoni kama hujui kusoma vibao babu inakuwaje? Utafika unakokwenda?
 
Wakati Mustahiki Meya wa Jiji Allan Mulumba Kashama anatuchezesha Dar es salaam kibinda nkoyi ndani ya Silent in Mwenge ulikuwa darasa la ngapi?
Unamjuwa Joseph Rwegasira?
Frediii Rwegasira
 
Hivi Eric Nzamba tumemtaja humu? Alirushwa na Ndanda Kosovo kwenye song lao la Prison, nadhani ni mtoto wa Kinondoni huyu, yuko hai.
 
Kiukweli hao jamaa wanasaidia Sana. Yaani chapu wanamaliza kazi. Ni Kama vile madalali wanavyorahisisha utafutaji nyumba.
 

.
 
Kida waziri, Tabia Mwanjerwa. Ford bado mtoto mdogo, Chiriku Manet, Kasaloo kyanga songa na mdogo wake, King kikii double ooo!! huyu mzee waaa juwata ya zamani nk, watu km hao km hujawataja wewe pia ni mtoto tu! Nyamza kuleeee!!
 
Uncle Salehe ni mwandishi alikuwaga BBC Swahili baadae akawa mbunge
Sio uncle saleh huyo
Mwenyewe alikua na kipindi cha mziki wa rhumba katika Television ya Zanziba (ZBC). Alikuwa pia mpenzi sana wa bendi ya Msondo. Ameshatangulia mbele za haki R.I.P
 
Kida waziri, Tabia Mwanjerwa. Ford bado mtoto mdogo, Chiriku Manet, Kasaloo kyanga songa na mdogo wake, King kikii double ooo!! huyu mzee waaa juwata ya zamani nk, watu km hao km hujawataja wewe pia ni mtoto tu! Nyamza kuleeee!!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tchacho Mwamba mwanamziki toka Kongo na muigizaji bongo movie
patcho mwamba "tajiri".
huyu mcongo pamoja na kwamba ni mwanamuziki, pia ni mtu wa mipango na connection nyingi sana za mujini.

connection zake zilisaidia sana kuifikisha fm academia kufika pale ilipofika. watu wenye ushawishi na mapedeshee wote walikuwa kwenye himaya yake.

ukitaja orodha ya wacongo wajanja(street-smart)na wanaojua kucheza vizuri na mazingira ya tz, patcho anaweza akachukua namba moja.

 
Umedanganya... Hujui vita ya ghuba ilikuaje. Lini Saddam Hussein aliwashinda Usa? Kuna uongo mwingine watu wanakugundua kirahisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…