Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Hahahah Kino bana sijui kwann nilihamaga ningekuwa na connection kibao nilikuwa nakaa Kino wasanii kibao walikuwa wanakuja mitaa yetu wakina shwari.Tid.robby sijui yupo wap hapo biafra tumepanda sana bembea tunawafundisha watoto wa kishua kubembea kuendesha vigari vya michezo humo ndaniHivi kabila wale wenye Vatican
Yupo haha
Sinza nna wana wengi rip salum fish
Hivi yasin sinza yupo...duh list ndefu
Zamani watoto wa kinondoni wanaweza fanya mipango na wa sinza,magomeni na ilala kidogo
Ila watoto wa tmk kdg kulikuwa na tofauti
Ova
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app