balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Babake William?Mzee Malay alifariki lini??sina taarifa kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babake William?Mzee Malay alifariki lini??sina taarifa kwa kweli
hivi hii pazi ndio alikuwa anachezea jamaa mmoja mzanzibar wa kuitwa dullah?.Nimewakuta mtandaoni Pazi wakati wamepelekwa US na Mzee Malay
Wajanja wachache walipata connection wakarudi tena majumla , lakini wengi tunasota nao kitaa....
View attachment 2315318
View attachment 2315321
View attachment 2315325
Ndio hiyohivi hii pazi ndio alikuwa anachezea jamaa mmoja mzanzibar wa kuitwa dullah?.
Jamaa Sahiv ni. Mtu mzima kwa kweli,Na kuna yule jamaa kwa jina Kajumulo nae alikuwa na issue kama hizi za mambo ya soccer sijui aliishia wapi nae
Kuna kipindi alikuja dar nlionana nayeJamaa Sahiv ni. Mtu mzima kwa kweli,
Kajumulo fc ilikufa maana jamaa anatuma pesa nyingi kuendeleza timu pesa inaliwa.
Bado anajihusisha na mambo ya mipira huko state
Hapo yupo Patrick nyembera,yupo yassin wengine majina yamenitokaNimewakuta mtandaoni Pazi wakati wamepelekwa US na Mzee Malay
Wajanja wachache walipata connection wakarudi tena majumla , lakini wengi tunasota nao kitaa....
View attachment 2315318
View attachment 2315321
View attachment 2315325
Mtoto wa warioba, aluta wariobaKabisa, Mkuu
Umenikumbusha jina lake, yule Mzee alikuwa na akili ya kizungu....na aliwapa Pazi wote mishemishe za clearing and forwrding kwenye kampuni yake
Nyumbani kwake kulikuwa na Half Court ya Basketball, kama Unyamwezeni ukiingia kwake unajiona...
Tulikuwa tunakwenda kwake kucheza kikapu na kina Mazula juniors, na mtoto wa Warioba alikuwa Jahman fulani baadae...
Aliwapeleka Pazi wote US kula bata, nakumbuka tunamsomesha mshikaji maskani, kwamba hii ndio "tiketi" na "safari" yenyewe usirudi, na zaidi alikuwa mkongo na anakitema kweli kifaransa, tunamwambia ukifika huko wewe cholopoka na useme ni mkongo unahitahiji hifadhi yaani kujilipua...
Lakini wapi akarudi na baadae Mzee alivyovuta, Pazi wote chali..........
Kati ya mwaka jana au mwaka juzi kacheza pazi, hadi kwenye klabu bingwaDulla alichezea vijana
Ova
OhkKati ya mwaka jana au mwaka juzi kacheza pazi, hadi kwenye klabu bingwa
mmh!..labda alicheza kama veterani cos age yake ishasonga sana.Kati ya mwaka jana au mwaka juzi kacheza pazi, hadi kwenye klabu bingwa
patrick nyembera aka patoo, huyu ni kaka yangu wa hiyari. pia kitaaluma yeye ni senior kwangu, wote tupo kwenye industry moja ya media. ni mtu mwenye experience kubwa kwenye sport journalism.Hapo yupo Patrick nyembera,yupo yassin wengine majina yamenitoka
Ova
Aise kaka yake alikuwa Kennedy nyembera enzi hizo mbavu nenepatrick nyembera aka patoo, huyu ni kaka yangu wa hiyari. pia kitaaluma yeye ni senior kwangu, ana uzoefu wa kutosha. wote tupo kwenye industry moja ya media.
kwa sasa yeye yupo azamtv, mimi nipo kwenye shirika fulani hivi.
mtoto wa mengi yupi?.regina ambaye ni boss wa EATV and radio?.Aise kaka yake alikuwa Kennedy nyembera enzi hizo mbavu nene
Sema dah ......
Patrick alikuwa karibu sana na mtoto wa mengi...wahuni enzi hizo tukawa tunakuona kaka anacheza naye picha la kihindi si unajua tena wahuni wanataka jamaa afanye kweli Patrick
Yeye hana habari [emoji1]
Ila maisha ya zamani bana ukikumbuka una miss mambo mengi sana
Ova
Dullah yule Mzanzibari? Kama ni huyo alikuwa mchezaji mzuri sanaDulla alichezea vijana
Ova
jamaa alikuwa anajua sana. ni bahati mbaya tu nchi hii mchezo wa basketball haujawahi kupewa kipaombele.Dullah yule Mzanzibari? Kama ni huyo alikuwa mchezaji mzuri sana
Huyo huyo Regina alikuwa karibu sana na Patrickmtoto wa mengi yupi?.regina ambaye ni boss wa EATV and radio?.
ila kaka yangu nyembera yupo vizuri sana ktk kuji position na watoto wazuri wa kike, shida yake kubwa ni umaliziaji. huwa ana delay sana.