Kabisa, Mkuu
Umenikumbusha jina lake, yule Mzee alikuwa na akili ya kizungu....na aliwapa Pazi wote mishemishe za clearing and forwrding kwenye kampuni yake
Nyumbani kwake kulikuwa na Half Court ya Basketball, kama Unyamwezeni ukiingia kwake unajiona...
Tulikuwa tunakwenda kwake kucheza kikapu na kina Mazula juniors, na mtoto wa Warioba alikuwa Jahman fulani baadae...
Aliwapeleka Pazi wote US kula bata, nakumbuka tunamsomesha mshikaji maskani, kwamba hii ndio "tiketi" na "safari" yenyewe usirudi, na zaidi alikuwa mkongo na anakitema kweli kifaransa, tunamwambia ukifika huko wewe cholopoka na useme ni mkongo unahitahiji hifadhi yaani kujilipua...
Lakini wapi akarudi na baadae Mzee alivyovuta, Pazi wote chali..........