Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Kuna watu walikuwa na uwezo sana nashangaa hawakupata nafasi NBA
Au college hko USA
Wengi waliyokuwa na uwezo walienda USA walifanya mambo mengine naona walikosa nafasi au zali huko
Hasheem thabeet nasemaga siku zote
Hakuwa mchezaji wa kikapubsema alitengenezwa ,kapata bahati kaichezea
Kuna watu walikuwa nanuwezo sana
Sema talent ilipotea tu

Ova
 
Huyo huyo Regina alikuwa karibu sana na Patrick
Alikuwa anakfanyisha tizi pia

Ova
si nasikia regina ni muumini wa rainbow, huwa "anawananiliu" mademu wenzie.

hivi kuna mkaka yotote wa kitz wa umri wetu huu aliwahi kupiga yule mdada?, binafsi na ubonitauni wangu wote sijawahi kusikia.

regina mpaka leo na utu uzima ule, bado yupo single. siku hizi ana mvi kichwani.
 
Dah aise yule hajaliwa
Kama analiwa basi kisiri

Yee hiyo sifa kitambo sana alikuwa nayo....

Ova
 
Dah aise yule hajaliwa
Kama analiwa basi kisiri

Yee hiyo sifa kitambo sana alikuwa nayo....

Ova
nahisi kwa sasa atakuwa anacheza near 50...ameshakuwa kibibi aka juve.


ila mimi watoto wa mzee mengi(ukiondoa marehemu mutie), huwa siwaelewi.

yule kakaake regina jamaa wa kuitwa abdiel nahisi na yeye ni walewale wa upande wa rainbow(sijui kwanini namuwazia hivi,Mungu atanisamehe).

kinachowasadia ni wasiri sana wa mambo yao, hawajichanganyi kwenye mikusanyiko mikubwa ya starehe, halafu hawatumii social media.
 
Regina labda apate mtu mwenye pesa zaidi yao,labda anaweza kukubali kuliwa na kuzaa na mtu,maana ukiangalia mwanaume atakayemuoa atampa nini??

Ingawa sasa hivi umri pia ushamtupa mkono sana! Kwenye 47yrs huko kuweza kuzaa ni Majaliwa tu
 
Aisee..
Umenikumbusha Kenny Nyembera , wakati ule wa local gym sio mchezo kwa kina Marlon Linje (Mzee ya Gitaa)
Kweli baadae ilikuwa daah.... changamoto za maisha hizi....

Halafu Patrick Nyembera alikuwa multitalent nakumbuka enzi za Don Bosco, Mpira yupo na alikuwa anaupiga mwingi...
UkIja Basketball yupo na mpaka kufika Pazi na michezo mingine mingi tu alikuwa mkali....
 
Uzi mzuri sana..nimeuona leo na nimeumaliza kurasa zote..hili huwa nalifanya kuepuka kurudia vitu ambavyo tayari vimejadiliwa na kuuliza maswali ambayo yatakufanya uonekane hauko makini.
Mkuu Smarter safi sana.
Zimetajwa baadhi ya bendi na wanamuziki kama kumbukizi ya miaka hiyo..naomba niitaje bendi ya muziki wa dansi ya Chuchu Sound chini ya Omary Mkali na Mao Santiago.
Kwenye mapedezee naomba nimtaje Papaa Kilua.
Ahsante.
 
papaa kirua....nasikia anamiliki kiwanda kinachozalisha nondo(kama nimekosea nisahihishwe).

shukrani kwa kuusoma uzi wangu. karibu tena.
 
papaa kirua....nasikia anamiliki kiwanda kinachozalisha nondo(kama nimekosea nisahihishwe).

shukrani kwa kuusoma uzi wangu. karibu tena.
Ni kweli..sehemu fulani Kibaha huko..
 
Abdi ameoa mwaka Jana kisiri Siri(Private).
 
Yusuf Chuchu, Gabi Katanga, King Giovanii
 
Wenzetu wanatengeneza watu, vipaji halisi ni vichache saana huko, wakina phil jones kina maguire ni wa kutengenezwa tu, kina nyoni huku ni vipaji halisi.
 
hongera zake.
ila hii hainifanyi nisiendelee kumuwazia vibaya kwa maana ni kawaida kwa wanaume ambao ni "michicha mwiba" kuoa na kutungisha mimba mademu, ila nyuma ya pazia wanaendelea na michezo yao ya ajabu ajabu.
Mimi kwa experience yangu niliyoipata,watoto wengi Sana wa kishua wanachelewa Sana kuoa na suala la kua na watoto sio kipaumbele Chao Sana(sababu ya starehe ziliyopitiliza na kuoa kwao kinakua Kama Ni kifungo) mpk wanakorofishana na wazazi wao kwa kuchelewa kuoa,wengine wanakua na doubt ya mwanamke Kama kafuata hela kwny ndoa au la na wengine vikwazo vinaanzia ndani ya familia kwa Wazazi kumchunguza Sana mwanamke anaetaka kuoelewa na kijana wao(kwa maana ya background ya familia alikotoka etc).Inshort kwny kulinda utajiri wa familia kitu muhimu Sana kinachozingatiwa na familia za kitajiri zinazojielewa Ni suala la kijana wao anaoa wapi.

Naona watoto wa maskini ndio kuoa hua Ni kipaumbele Chao Cha kwanza kabisa na masuala ya kua na watoto kwa wao ni ufahari/utajiri.
 
hili lina ukweli 100%.
kwanini kwa familia tajiri za kiarabu hali hii haipo?. kwa mfano yusup bakhresa, mtoto wa mzee bakhresa alioa mapema sana na mpaka sasa yupo na mkewe.
 
hili lina ukweli 100%.
kwanini kwa familia tajiri za kiarabu hali hii haipo?. kwa mfano yusup bakhresa, mtoto wa mzee bakhresa alioa mapema sana na mpaka sasa yupo na mkewe.
Aisee ktk jamii ambazo hua wanawahi kuoa hua Ni waarabu na hii Ni Hadi kwa familia zao za matajiri,kijana hata wa early 20's unakuta ameoa afu fresh tu Maisha yanaendelea, nadhani labda Ni mambo ya tamaduni mkuu.
 
Kwenye huu wimbo pia wanetajwa wengine wanaofaa kuingia kwenye orodha:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…