Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Wakina zizzoue fashion wako wapi!

Machapta naona yupo ...nlionana naye msiba wa bishop mmj wa kinondoni
Huyu ntakuja kupa kituko chake

Hivi George mayenga alitajwa humu
Naye alirushwa sana na mabendi
Mzee wa kandarasi ofisi feki [emoji1]

Ova
 
Wakina zizzoue fashion wako wapi!

Machapta naona yupo ...nlionana naye msiba wa bishop mmj wa kinondoni
Huyu ntakuja kupa kituko chake

Hivi George mayenga alitajwa humu
Naye alirushwa sana na mabendi
Mzee wa kandarasi ofisi feki [emoji1]

Ova
Mzee tufanye siku moja kipind aisee ukiwa tayari nikuchek ni moja ya stori nzuri naamin tunaweza kupiga mastori mawili matatu
 
Asante kwa huu Uzi mkuu ntakuchek inbox tufanye kipind kama mpo free we na mrangi
 
Asante kwa huu Uzi mkuu ntakuchek inbox tufanye kipind kama mpo free we na mrangi
haina shida kaka, ni wazo zuri sana. itakapofika huo mda, mrangi ataniwakilisha, ana madini mengi sana. mimi nitakuwa behind the scene niki facilitate na ku coordinate baadhi ya vitu.
 
huyo machapta ndio yule jamaa alikuwa anamiliki studio ya video production maeneo ya kinondoni vijana?
 
Sunda yupo enzi hizo alipiga Ela ndefu sana ya Tanzanite pale mererani japo alikuwa hajasoma alipata bahati kusaidiwa na vigogo flani kuwekeza pesa yake kwa mfano kununua mount meru hotel major share na kujenga na kununua vitega
uchumi vingi vya majengo hapa chuga kwa sasa biashara ya madini haimlipi sana zaidi ya Kula Kodi tu ya vitega uchumi vyake. Sema jamaa alikuwa akihusishwa na ushirikina sana na mcheza kamari sana kwenye casinos.
 
Nani anamkumbuka pedeshee Ali Aurora? Maisha ya huyu jamaa yalitawaliwa na visa vingi vya utapeli na dhuluma.

Halafu akaja kufariki kwa maradhi yaliyomtesa sana. Inadaiwa aliowadhulumu walimpiga "msumali".
Huyu jamaa alikuwa tapeli mbwaa alishatuzulumu gari asee tulimfuatilia ofisini kwake bila mafanikio amekufa anaozea kitandani mbwaa kbsaa
 
Huyu jamaa nasikia alipita na Aunty Ezekiel?...

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwan yule jamaa Idrisa na matege yake,ule mpunga wa Big Brother uko wapi?? 500M kala zote
Alikutana na Wema Sepetu wakawa wanakula na kulala Hotel za Five Star Arusha, Dar na Zanzibar, pesa yote ikaisha...ingia YouTube search Salama Na - Idris Sultan umsikie mwenyewe. Gari ya Maana ilikuwa BMW X6

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
ni kweli, hili jina nimelisikia mara nyingi. marehemu moshi william alikuwa analitaja sana.

alikuwa ni nani huyo mtu na yupo wapi hivi sasa?.
Alikuwa anauza spare za magari pale mitaa ya Msimbazi Kariakoo na Duka lake liliitwa hivyo hivyo, pia alikuwa na Garage yake mitaa ya Kinondoni

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wasenge kweli. Yaani wewe mwanaume na pesa yako eti unaenda kumtafuta Wema mtu ambaye keshagongwa na watu kibao.

Mshamba mwingine ni Harmonize kumnunulia Range Rover Kajala halafu eti anaimba na wimbo kabisa wa kujisifia kwamba kamhonga Kajala. Kajala mwenzie P Funk kapiga mpaka kazalisha, na jamaa wengine kibao tu washapita mpaka jela alienda huko sijui kama walimwacha maafande.
 
Kajala nmeanza kmjua tokea kanasoma kumbukumbu primary school...
Enzi hzo beach alikuwa na team yake wanasasambua tu,club asset pale wasasasambua sana...
Sema ndy hivyo Ana zali la watu kumzimikia...
Na maisha hya anayapenda ya spotlight .....bata
Kabla ya konde kumbuka aliolewa na smbdy faraji yule jamaa aliyekuwa na issue ya benki...na kilichomkuta nafikiri unakikumbuka...

Ova
 
Aisee ktk jamii ambazo hua wanawahi kuoa hua Ni waarabu na hii Ni Hadi kwa familia zao za matajiri,kijana hata wa early 20's unakuta ameoa afu fresh tu Maisha yanaendelea, nadhani labda Ni mambo ya tamaduni mkuu.
Issue ni imani (dini ya kiislam) wanawai ili kuepuka/ kuikimbia zinaa( kufanya mapenzi bila kuwa na ndoa)
 
Wasanii wa bongofleva usiwaamini hata kidogo, huyo mmakonde hana uwezo wa kumnunulia kajala Range, hyo gari alipewa na tajiri mmoja kino mwenye yard ya magari amsaidie kumtafutia wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…