mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hahaha nlimuona bwanakatika huo msiba, marehemu moody mas pia alikuwepo, ni kama alijipeleka kwenda kuagana na marafiki zake.
nimemuona papaa madenge akiwa anapiga story na tajiri davis mosha. hakika msiba uliwakutanisha wototo wa mjini.
Sasa unajua mudy kuna hela moja ananidaigi zaidi ya miaka 10 ambayo
Ni 10000/ basi kila akinionaga ananikomaliaga,yaani kama utani hvi
Na mm nlimwambiaga sitakulipa
Aise huu msiba uliwakutanisha watu wengi wa Town
Yah papa madenge tena
Ova