Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Mwandishi wa huu uzi alishawataadharisha mapema, kama umri wako hautoshi basi kuwa msomaji tu ujifunze.

Kipindi hicho South africa tulikuwa tunaenda kwa viza lazima uende hapo masaki kuomba viza, supporting documents ilikuwa ni go and return ticket ya Alliance Airways.
Ni kweli VIZA yangu kwanza kwenda kwa Kaburu 2004 nilichukulia Masaki, na kulikuwa na Maza Mmoja pale Black Beauty kajaa alikuwa wa "Michongo" sana
 
Kuna camp ya kuizidi home alone camp na kati ya Kinondoni? mbona hatujaitaja?

Kina Mc Fikirini ndio wadau wa hii camp ilikuwa kila inapopiga Twanga home alone camp lazima waende.
Huku HOME ALONE kule TIMBERLAND Vggt ya Samora - tajiri wa Mbuzi
 
Heeeh,ni Dotto huyu Mpiga debe wa Mwananyamala Manyanya ninaemfahamu mimi au mwingine[emoji134]hakika maisha yanabadilika,nilikimbizana nae sana huyu vichochoro vya Mwananyamala enzi hizo nikiwa M-mwela ili nimkamate na Bangi au Madawa,nilikuwa nikiwakamata wananiachia ganji yangu nawaachia wasepe[emoji1787]hongera kwake kwa kubadilika
inaonekana nyinyi watu wawili wewe na mrangi mnamjua vizuri sana dotto.

na kama historia yake ndio hiyo kwamba jamaa alianzia kwenye upiga debe wa daladala na baadae akaingia kwenye matumizi ya unga mitaa ya manyanya halafu akaacha, basi kuna haja ya kila mtu kutokata tamaa katika kupigania ndoto zake.

hongera kwa dotto.
 
Ni kweli VIZA yangu kwanza kwenda kwa Kaburu 2004 nilichukulia Masaki, na kulikuwa na Maza Mmoja pale Black Beauty kajaa alikuwa wa "Michongo" sana
Maza J alikuwa anatoaga viza za kwa bulu, za michongo, naona kama walimwaga namuona town Kachika fln hv.
 
jamaa kafika kila sehem,kafanya kila kazi,vibaka wote anawajua,wahuni wankitambo dsm anawajua[emoji15][emoji15][emoji15]
hahaha.....mrangi ni bontown, analijiua jiji la dar kiundani. anajua mishe zote za dar (za halali na haramu).

anawajua ma bigfish wote wa dar na michongo yao. anawajua wahuni wote wa dar, yaani ukipigwa kabali halafu ukaporwa simu, mcheki mrangi, simu yako itarudi.

last but not least anazijua neighborhood zote za dar, kuanzia zile wanazoishi washua mpaka zile tunazoishi sie akina kajamba nani.

kiufupi mrangi ni kanzidata inayotembea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kwa hapa jf,huwa namfananisha mrangi na mzee Mohamed Said vile anavyoijua kariakoo/mzizima na watu wake wa zamani walioishi eneo lile.
 
Sikupingi mzee , huyo ni kaka mkubwa nami narespect sana kwake vile anashuka nondo na mambo mengi ya mji wa dasalam
 
Wasanii wa DRC kumbe hauwafahamu, wengi ni choka mbaya na wanaishi kwa kuungaunga sana.
Ambao huwa wanakwenda Europe huwa hata huko wanaishi kwa kuungaunga sana, wakipata pesa huwa cha kwanza ni shopping za nguo na vipodozi. In short huwa hawana maisha ya kueleweka ila wapo exceptional wachache wenye mafanikio.

nimewahi kufanya kazi na wacongo wakati fulani nikiwa najishughulisha na masuala ya entertainment. naijua vizuri sana hii jamii.

wasanii wa congo wanaenda kwa category, bila shaka utakuwa unawazungumzia wale wachanga ambao bado hawajatoka kimziki.

ni kweli hilo kundi wengi wao wanaishi kiujanjaujanja. hata hapa tz tunao wengi tu.
baadhi yao wanafanya kazi kama hair dressers kwenye saloon za kike mitaa ya kinondoni, usiku wanaenda kutumbuiza kwenye bar, kiingilio bia.

katika hili kundi, wengine wamejishikiza kwa mijimama ya mjini yenye hela, wakilelewa kama watoto, wao kazi yao ni kuchakata K tu.
hawa ndio wale kila pesa wanayopata, inaishia kununua mavazi na vipodozi. wanaamini utanashati ni great factor ya kuwanasa wanawake wenye fedha.

category ya wanamuziki wa kicongo ambao wapo vizuri kifedha ni akina koffi olomide, felix wazekwa, werrason, jb mpiana, fally, ferre gola, bwana mdogo innoss'b nk.

hili kundi ndio linaenjoy mikataba minono ya kibiashara, fedha na zawadi kutoka kwa matajiri na wanasiasa mbalimbali wa congo wanazotoa kama tip kwa msanii baada ya majina yao kuimbwa sana kwenye nyimbo.

kundi hili la wasanii ni matajiri sana. sidhani kama kuna mwanamuziki nchini anafikia utajiri wa hawa wanamuziki.hata huyu star wetu nasibu abdul ambaye kwa hapa kwetu anaonekana tajiri, hafiki kwenye level ya utajiri alionao fally ipupa. hawa wacongo wanamiliki majumba kinshasa, paris na brussels.

halafu wakifanya show ulaya, arena huwa zinajaa kwasababu ya support wanayopewa na diaspora community kubwa ya wenzao wanaoishi huko. pia support nyingine inatoka kwa waafrika wanaotoka ktk mataifa yanayozungumza kifaransa.

mcheki koffi olomide hapa akiwa anaendesha moja gari zake za kifahari. ila sijajua kati ya hii na ile ya diamond, ipi ni toleo la nyuma. wataalam wa magari watatusaidia.
 
Kajala nmeanza kmjua tokea kanasoma kumbukumbu primary school...
Enzi hzo beach alikuwa na team yake wanasasambua tu,club asset pale wasasasambua sana...
Sema ndy hivyo Ana zali la watu kumzimikia...
Na maisha hya anayapenda ya spotlight .....bata
Kabla ya konde kumbuka aliolewa na smbdy faraji yule jamaa aliyekuwa na issue ya benki...na kilichomkuta nafikiri unakikumbuka...

Ova
Abbott a.k.a. QUICKRACKA Kamla Sana Kajala, tena Kamla Sana mara baada ya kutoka jela, Ila kalifaidi Sana huyu QUICK RACKA tena NI dogo tu aliyezaliwa 1992. Yaani NI dogo WA miaka 30
 
a legend, a brother, mtoto wa mjini, borntown, mwana dar es salaam has gone. rest in peace moody mas.

watoto wa mjini bila shaka mnamkumbuka vizuri huyu brother. alikuwa anashinda sana mitaa ya somora. pia walikuwa na duka lao la nguo jirani na jm mall.

ni msiba uliogusa hisia za wengi hususani watoto wa mjini wa ile generation iliyosumbua sana mitaa ya samora avenue,mkwepu street na lumumba.
copy to mrangi and others.
IMG_20220921_031548.jpg
 
a legend, a brother, mtoto wa mjini, borntown, mwana dar es salaam has gone. rest in peace moody mas.

watoto wa mjini bila shaka mnamkumbuka vizuri huyu brother. alikuwa anashinda sana mitaa ya somora. pia walikuwa na duka lao la nguo jirani na jm mall.

ni msiba uliogusa hisia za wengi hususani watoto wa mjini wa ile generation iliyosumbua sana mitaa ya samora avenue na mkwepu street.
copy to mrangi and others.
View attachment 2363142
Aise,nilisikia huu msiba
Apumzike kunako mstahili
Enzi hizo alituvalisha sana nguo
Viatu vikali,tena vile quality [emoji108]

Ova
 
Abduli toll , mwamedi kiluwa ,idi paa kapandisha ,mama asha baraka , fundi kila family , papa Junior mzee ya kimala,profesa maji marefu, idi majid raisi wa mtogole ,alida trans, edita kisaka na wengine wengi aisee ukisikiliza raha sana
 
Aise na kulikuwa na huu msiba
Kuna mwamba anaitwa Abdul bagdera, baharia fulani alifia nje
Aliletwa kuzikwa kisutu
Huu msiba ulikuwa na watoto wa mjini
Wengi wa zamani

Ova
View attachment 2363158
katika huo msiba, marehemu moody mas pia alikuwepo, ni kama alijipeleka kwenda kuagana na marafiki zake.

nimemuona papaa madenge akiwa anapiga story na tajiri davis mosha. hakika msiba uliwakutanisha wototo wa mjini.
 
Abduli toll , mwamedi kiluwa ,idi paa kapandisha ,mama asha baraka , fundi kila family , papa Junior mzee ya kimala,profesa maji marefu, idi majid raisi wa mtogole ,alida trans, edita kisaka na wengine wengi aisee ukisikiliza raha sana
iddi majid nimemkumbuka.
nilikuwa nakutananae nae sana mitaa ya mtogole. mwanangu mmoja akaniambia wototo wa kihuni na wakabaji wa kwa mtogole walikuwa wanamuheshimu sana iddi. yaani ukiibiwa tu,muone iddi. hivi yupo wapi siku hizi?...kitambo sana.
 
Back
Top Bottom