Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

katika huo msiba, marehemu moody mas pia alikuwepo, ni kama alijipeleka kwenda kuagana na marafiki zake.

nimemuona papaa madenge akiwa anapiga story na tajiri davis mosha. hakika msiba uliwakutanisha wototo wa mjini.
Hahaha nlimuona bwana

Sasa unajua mudy kuna hela moja ananidaigi zaidi ya miaka 10 ambayo
Ni 10000/ basi kila akinionaga ananikomaliaga,yaani kama utani hvi
Na mm nlimwambiaga sitakulipa
Aise huu msiba uliwakutanisha watu wengi wa Town
Yah papa madenge tena

Ova
 
hahaha...kwa hiyo marehemu moody mas bado anakudai elf 10 yake.
 
Wasanii wetu ni tofauti na wasanii wa hapo Congo, wale ni matajiri kweli na wamejenga majengo ya maana na watoto au wake zao wanaishi ulaya,
Hawa wasanii wetu hua wanaact tuu lakini hawana kitu
Wasanii wa Congo nawaheshimu hapo tu. Familia zao wanazijali. Na mara nyingi familia zao huziweka private.
 
Halafu yeye haanzishi uzi. Ni ana-comment tu. Mrangi kuna uzi alinikomesha anajua hadi mitaa ya Chingola, Zambia.
 
kwa kuwa msukumo wa huu uzi umetokana na mziki wa dansi/rumba/sebene, leo nimeamua kutenga mda kidogo kusikiliza album mpya ya ferre gola inayokwenda kwa jina la dynastie.

kama wewe ni mpenzi wa mziki wa rumba hutojutia ku-live stream hii album. kila nyimbo ni kali.

ndani ya hii album kuna ngoma inaitwa carte rose(pink card), ni rumba moja tamu sana. huu wimbo ferre ameimba kama special dedication kwa mtoto wa kike wa rais Felix Tshisekedi aitwae fanny tshisekedi.

huyu fanny tshisekedi ameolewa na jamaa mmoja anaitwa david mangaya, wedding yao ilifanyika mwezi uliopita.
 

Kuna mwanakijiji mmoja nilimweleza Dotto ni muhuni kuliko Babalevo na mwijaku washamba akabisha, nikamweleza Dotto hua kila akiongea anaitaja kinondoni unadhani anatania? Yule alikua kashindikana alikua anajishindilia sana halafu mwizi hatari, sema watu wanachange tuishie hapo
 

Dharau mbaya sana mpe heshima kulingana na alivyo
 
Ahsante sana mkuu, Ferre alipata kesi na binti yake si unajua mambo ya ulaya, mtoto wa kike alikua havai vizuri so Ferre aliamua kumkanya kama mzazi dogo akaenda kushitaki so jamaa alipigwa mvua ya miezi 3,
Mtoto anaishi France
 
Ahsante sana mkuu, Ferre alipata kesi na binti yake si unajua mambo ya ulaya, mtoto wa kike alikua havai vizuri so Ferre aliamua kumkanya kama mzazi dogo akaenda kushitaki so jamaa alipigwa mvua ya miezi 3,
Mtoto anaishi France
niijua vizuri sana hiyo kesi, yupo uraiani kwa sasa. ktk interview yake moja ya hivi karibuni, ferre amemtuhumu babu wa huyo binti yake kwamba ndio aliyepanda sumu ya chuki kwa binti yake.
 
niijua vizuri sana hiyo kesi, yupo uraiani kwa sasa. ktk interview yake moja ya hivi karibuni, ferre amemtuhumu babu wa huyo binti yake kwamba ndio aliyepanda sumu ya chuki kwa binti yake.
Ulaya wana Mambo ya hovyo sana mkuu, Yule mtoto wa kiume kaambiwa akileta tabia zake atarudishwa Congo naye kasema ataenda Mahakamani, watoto ulaya wana haki kuliko wazazi inakuaje hii
 
Dotto mhuni,mjelajela
Nishakuwaga na coaster alikuwa
Mpiga debe wangu....ilikuwa full uzushi,sema dotto na mapungufu yake alikuwa nayo ila jamaa alikuwa
Mwaminifu sana
Nlikuwa naye 4ways kama wiki 1 hivi imepita story nyingi haziishi

Ova
 
Hahahah bro unachangamsha hatari. Mimi ni mfuasi wako mwaminifu.
Hahahaha hahahaha

Ndomana hapa nko ruangwa kuna kijiwe fulani nmekaa napiga kahawa
Nawapa stori za ubaharia vijana
Basi hapakauki hapa,mastori hayaishi hapa [emoji1]
Kuna stori tunapiga za msumbiji sasa kule kuna gereza linaitwa machava,
Sasa huko kuna mchongo wa wafungwa kutoroshwa ila sasa huo mziki wake maana ni mchongo na unaukweli maana mnafukuzwa nyuma
Na unaweza pigwa shaba,ila ndy mchongo huooo ohooo
Sasa hapo kama hauna mbiooo shauri zako [emoji1]
Stori zinaendelea hapa.....


Ova
 
Umetisha sana mkuu
 
Hivi Mrangi Kuna jamaa alikuwa anaishi Kino na mratibu wa Miss Kinondoni enzi hizo,anaitwa George, alikuwa Meneja wa baa inaitwa King Palace ipo Keko Magurumbasi. King Palace ilikuwa balaa kwa densi kulikuwa na akina King na Small Jobiso. Enzi hizo madensa walikuwa na soko sana
 
Boy George huyo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…