Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Dah mleta Uzi we ni noma😂yaani Kama ilikuwa na notes vile!....Kuna Jacky Pemba pia
 

Designer Khadija(Mwanamboka) Mavazi akatuonyee Kajala - Kama unataka Demu -Jay Mo

Ostaz Juma na Musoma

Magufuli JikonoJandama na Kati ya Morogoro.
 
Aisee RIP
Siamini mpaka sasa hivi, Moody tumesoma wote Jite.
Aisee, sikuamini nilivyosikia....RIP mate...
Wote tuko njia moja, wewe umetangulia....
 
Aise na kulikuwa na huu msiba
Kuna mwamba anaitwa Abdul bagdera, baharia fulani alifia nje
Aliletwa kuzikwa kisutu
Huu msiba ulikuwa na watoto wa mjini
Wengi wa zamani

Ova
View attachment 2363158
Mkuu
Hii inakumbusha kwamba sasa nimezeeka, nimeona washkaji kibao nimesoma nao
Na RIP Moody ...dah....sio mchezo..
 
King Palace imeanzishwa miaka ya 90 mwishoni. Hapo kulikuwa na mialiko ya madensa wa kike na kiume, mabishoo na wenye pesa Keko zote na Temeke kilikuwa kijiwe. Bila kusahau wauza unga.

Ila ngoma najua imechukua wengi sana hapo. Kipindi hicho Keko ina guest nyingi kuliko Kata yeyote Dar
 
Mkuu
Hii inakumbusha kwamba sasa nimezeeka, nimeona washkaji kibao nimesoma nao
Na RIP Moody ...dah....sio mchezo..
marehemu moody kafariki akiwa around 40s. inawezekana wewe ni agamate wangu cos kwa sasa nacheza kwenye early 40s.

vijana wengi wa umri wetu wamesharudisha namba, wengine wanaishi kwa matumaini.

tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kufikia umri huu tukiwa wazima kiafya, mashababi, hatuna maradhi kama kisukari, Bp na hatumezi vile vidonge vya kufubaza naniliyu.

generation yetu ime survive mabalaa mengi sana.
 
Aisee..kweli mkuu
Tuombe uzima, na kushukuru Mungu kwa kweli.
Kisukari na Figo imekuwa kawaida kusika kwa watu rika letu.
Sasa ni kuangalia sana chakula sahihi na kubadilisha lifesyle ili tuzidi kusogeza.
 
Huyo Ally Kitobo na mbwembwe zote hadi leo anapanga majuzi tu kidogo apigwe risasi mitaa ya Mbezi Beach alikwenda kumfanyia unyoko mzee mmoja wa mjini anaitwa Fadhil Mganga(walikuwa jela wote na Msofe). Kwa sasa Kitobo anaishi kama digidigi na hasa ukichukulia hana shule
 
Ilikuwa enzi za JK zile Msofe alikaa sana Keko hadi akawa mweusi.. Mzee Massawe alikimbilia ughaibuni sijui kama amerudi..mwisho wa siku Msofe aliachia ile nyumba plus na riba na usumbufu kwa mjane.Ile nyumba ipo mitaa ya Mikocheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…