Unamkumbuka marehemu sanga [emoji1]Hivi hio Florida bar bado ipo?? ina juu na chini, kule juu ilikua chaka fulani hivi kuna giza kidogo mkiwa wenyewe na demu unajipigia quickie fasta fasta. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unakumbuka ile pub opposite makaburi ya kinondoni,sahv breakpoint kinondoniNi kweli unaweza kuta vijana wanafurahi bata zao, sema mitaa ya mjini ikifika saa za jioni inapoa sana watu wote wanarudi makwao huko sijui tegeta, kimara, mbagala etc. zamani hio mida ni ya vurugu mjini watu wanarejea huko giza tayari wanaanzia Florida bar au Georgis pale. daa vijiwe vya mjini vingine nimevisahau sasa kuna kingine kilikua huku karibu na lumumba ilikua hotel ya mzee wa kichaga ikiitwa Happy hotel ina mpaka summit bar., na ingine Keys Hotel na pale Railway station juu kulikua na ki bar hivi.
Aksante, huu nautafuta wamemuimba sana Kama Vile Muzamili Katunzi Alivyoimbwa na Bella.Diamond Musica katajwa pia kwenye wimbo wao "mapenzi ni kitu gani"
Said Comorien alikuwa producer hakuwa pedeshee! Pia alikuwa ni mfanya mixing mzuri wa nyimbo za danceKuna kina Said Komolie sijui alikuwa nani huyu
Congo kawaida kuwaimbia mapedeshee,JB Mpiana alimtungia wimbo Pedeshee Mohamed KanyasiKuna pedeshee mmoja wa Congo Brazaville Fred Nelson wale jamaa wa G7 walimtungia wimbo
Aisee! Mwamba wewe ni hustler kitambo.Msofe si alikuwa Ana deal na pport wakati huo bandika bandua zile
Ndama anauza magari dalali lumumba...
Sisi wengine kuuza sim na kupigisha sim za michongo wakati ule International line deal kweli
Dah nmekweaaa sana mijengo ya posta na sehemu fulani fulani kutafuta line ttsslll International nkipata tunawaunganisha wadau,na wadau wetu wengi walikuwa wadosi
Sim zao wao walikuwa wanaongea mipango tu mwanzo mwisho
We kesho yake we pitia mpunga wako
Kwenye deal hyo nlijuana na watu wengi sana sana matajiri wa kihindi
Tena wenye majinaaa mjini
[emoji1]
Sema kuna mission moja hapo kitega uchumi ilifeligi wazee tukanasaga
Na kesi juu [emoji1] hujumu uchumi
Anyway tulikuja imalizaga
Hapo ndy nkaachana na mambo hayoo
Ova
kila zama na kitabu chake.Ina maana hawa jamaa wamekula bata kuliko vijana wa sahv [emoji16]
Nilishangaa siku moja dogo mmoja anamuomba jamaa jirani apige picha na Hennesy, what for!kila zama na kitabu chake.
vijana wa zamani walikula bata kwa kutumia fursa na mazingira yaliyokuwepo wakati huo.
kulikuwa hakuna whatsapp instagram,facebook wala youtube za kujionyesha vile walivyokuwa wanafurahia maisha,lakini waliupeleka mji puta sio kitoto.they were so real.
hawa wa sasa licha ya kupata backup ya social media, wapo fake sana.
mtu akienda kidimbwi au wavuvi camp anapiga picha na kupost instagram. picha zinaonyesha wana enjoy maisha na kula bata ila nyuma ya pazia wanamatatizo kibao.
Aise dahNilishangaa siku moja dogo mmoja anamuomba jamaa jirani apige picha na Hennesy, what for!
Kweli Ndama alikua anazurula sana na kandambili na shati lake la pink na suruali mpauko kijani hivi hapo ni ukimpa ofa nyagi tuSijui papaa Ndama nae alikua fala tu mtoto wa magomeni mapipa kule chini kama unaenda kigogo, mjini anakuja kavaa kandamili
Naikumbuka hio pub ilikua maarufu kwa utengenezaji wa supu na sausages, asubuhi mtu unapaki pembeni unapiga chap chap unateremka mjini, hapo naishi kinondoni, squad na kina marehemu Swetu Fundikira, Charles Sanga -rip na wengineo. Kulikua na bar ingine hapo mbele opposite na soko la ma TX ikiitwa Kontena nayo ilitisha sana. Viongozi wengi kama kina mkwere, marehemu Ben Mkapa na wengineo baa yao tulikua tunawakuta hapo Seaview karibu na Salender Police station nimeisahau jina lake ndio viongozi wengi kilikua kijiwe chao. ilikua inamilikiwa na shirika la umma. Hatari sana mkuu.Unakumbuka ile pub opposite makaburi ya kinondoni,sahv breakpoint kinondoni
Supu asubuhi watu wamejaa,jioni napo watu wakirudi nyomi
Kuna watu tulikuwa tuna mingo nao pale sahv viongozi nao tulikuwa tunapiga nao masanga pale
Chimbo lile ndugai job alikuwa anatimbaga sana [emoji1]
Sita naye,na wazee wa mfumo nao walikuwa wanajaa si unajua walikuwa jirani pale
Ova
Hi level [emoji38]aise!!, kuna watu mmekula sana maisha katika ujana wenu. utawala wa ruksa nilikuwa bado primary nikifuta ujinga.mengi yaliyotokea yalikuwa juu ya uelewa wangu. nilikuja kuyasikia nilipokuwa O-level na Hi-Level.
Kontena pale kwa kina prosperNaikumbuka hio pub ilikua maarufu kwa utengenezaji wa supu na sausages, asubuhi mtu unapaki pembeni unapiga chap chap unateremka mjini, hapo naishi kinondoni squad na kina marehemu Swetu Fundikira, Charles Sanga -rip na wengineo. Kulikua na bar ingine hapo mbele opposite na soko la ma TX ikiitwa Kontena nayo ilitisha sana. Viongozi wengi kama kina mkwere, marehemu Ben Mkapa na wengineo baa yao tulikua tunawakuta hapo Seaview karibu na Salender Police station nimeisahau jina lake ndio viongozi wengi kilikua kijiwe chao. ilikua ilikua inamilikiwa na shirika la umma. Hatari sana mkuu.
Na wakat huo sanga alikuwa mshkji sana na j.ndugai dah kwenye vikao utawakuta wamekaa pmjNaikumbuka hio pub ilikua maarufu kwa utengenezaji wa supu na sausages, asubuhi mtu unapaki pembeni unapiga chap chap unateremka mjini, hapo naishi kinondoni, squad na kina marehemu Swetu Fundikira, Charles Sanga -rip na wengineo. Kulikua na bar ingine hapo mbele opposite na soko la ma TX ikiitwa Kontena nayo ilitisha sana. Viongozi wengi kama kina mkwere, marehemu Ben Mkapa na wengineo baa yao tulikua tunawakuta hapo Seaview karibu na Salender Police station nimeisahau jina lake ndio viongozi wengi kilikua kijiwe chao. ilikua ilikua inamilikiwa na shirika la umma. Hatari sana mkuu.
ukiwakuta bar wamechafua meza kwa vinywaji unaweza ugaopa kwa kudhani wanatumia pesa nyingi. ukipigiwa mahesabu unashangaa hata laki haifiki.[emoji1787]Nilishangaa siku moja dogo mmoja anamuomba jamaa jirani apige picha na Hennesy, what for!
Aisee, nimesoma comments zote so far. Ila mrangi umetisha.
Huyo mwenye cheni sio hussein!ukiwakuta bar wamechafua meza kwa vinywaji unaweza ugaopa kwa kudhani wanatumia pesa nyingi. ukipigiwa mahesabu unashangaa hata laki haifiki.[emoji1787]
View attachment 2541894