Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Hivi hio Florida bar bado ipo?? ina juu na chini, kule juu ilikua chaka fulani hivi kuna giza kidogo mkiwa wenyewe na demu unajipigia quickie fasta fasta. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unamkumbuka marehemu sanga [emoji1]
Jamaa wa clearing

Ova
 
Ni kweli unaweza kuta vijana wanafurahi bata zao, sema mitaa ya mjini ikifika saa za jioni inapoa sana watu wote wanarudi makwao huko sijui tegeta, kimara, mbagala etc. zamani hio mida ni ya vurugu mjini watu wanarejea huko giza tayari wanaanzia Florida bar au Georgis pale. daa vijiwe vya mjini vingine nimevisahau sasa kuna kingine kilikua huku karibu na lumumba ilikua hotel ya mzee wa kichaga ikiitwa Happy hotel ina mpaka summit bar., na ingine Keys Hotel na pale Railway station juu kulikua na ki bar hivi.
Unakumbuka ile pub opposite makaburi ya kinondoni,sahv breakpoint kinondoni
Supu asubuhi watu wamejaa,jioni napo watu wakirudi nyomi
Kuna watu tulikuwa tuna mingo nao pale sahv viongozi nao tulikuwa tunapiga nao masanga pale
Chimbo lile ndugai job alikuwa anatimbaga sana [emoji1]
Sita naye,na wazee wa mfumo nao walikuwa wanajaa si unajua walikuwa jirani pale

Ova
 
Msofe si alikuwa Ana deal na pport wakati huo bandika bandua zile
Ndama anauza magari dalali lumumba...
Sisi wengine kuuza sim na kupigisha sim za michongo wakati ule International line deal kweli
Dah nmekweaaa sana mijengo ya posta na sehemu fulani fulani kutafuta line ttsslll International nkipata tunawaunganisha wadau,na wadau wetu wengi walikuwa wadosi
Sim zao wao walikuwa wanaongea mipango tu mwanzo mwisho
We kesho yake we pitia mpunga wako
Kwenye deal hyo nlijuana na watu wengi sana sana matajiri wa kihindi
Tena wenye majinaaa mjini
[emoji1]
Sema kuna mission moja hapo kitega uchumi ilifeligi wazee tukanasaga
Na kesi juu [emoji1] hujumu uchumi
Anyway tulikuja imalizaga
Hapo ndy nkaachana na mambo hayoo

Ova
Aisee! Mwamba wewe ni hustler kitambo.
 
Ina maana hawa jamaa wamekula bata kuliko vijana wa sahv [emoji16]
kila zama na kitabu chake.
vijana wa zamani walikula bata kwa kutumia fursa na mazingira yaliyokuwepo wakati huo.

kulikuwa hakuna whatsapp instagram,facebook wala youtube kujionyesha vile walivyokuwa wanafurahia maisha,lakini waliupeleka mji puta sio kitoto and they were so real.

hawa wa sasa licha ya kupata backup ya social media, wapo fake sana.
mtu akienda kidimbwi au wavuvi camp anapiga picha na kupost instagram. picha zinaonyesha wana enjoy maisha na kula bata ila nyuma ya pazia wanamatatizo kibao.
 
kila zama na kitabu chake.
vijana wa zamani walikula bata kwa kutumia fursa na mazingira yaliyokuwepo wakati huo.

kulikuwa hakuna whatsapp instagram,facebook wala youtube za kujionyesha vile walivyokuwa wanafurahia maisha,lakini waliupeleka mji puta sio kitoto.they were so real.

hawa wa sasa licha ya kupata backup ya social media, wapo fake sana.
mtu akienda kidimbwi au wavuvi camp anapiga picha na kupost instagram. picha zinaonyesha wana enjoy maisha na kula bata ila nyuma ya pazia wanamatatizo kibao.
Nilishangaa siku moja dogo mmoja anamuomba jamaa jirani apige picha na Hennesy, what for!
 
Unakumbuka ile pub opposite makaburi ya kinondoni,sahv breakpoint kinondoni
Supu asubuhi watu wamejaa,jioni napo watu wakirudi nyomi
Kuna watu tulikuwa tuna mingo nao pale sahv viongozi nao tulikuwa tunapiga nao masanga pale
Chimbo lile ndugai job alikuwa anatimbaga sana [emoji1]
Sita naye,na wazee wa mfumo nao walikuwa wanajaa si unajua walikuwa jirani pale

Ova
Naikumbuka hio pub ilikua maarufu kwa utengenezaji wa supu na sausages, asubuhi mtu unapaki pembeni unapiga chap chap unateremka mjini, hapo naishi kinondoni, squad na kina marehemu Swetu Fundikira, Charles Sanga -rip na wengineo. Kulikua na bar ingine hapo mbele opposite na soko la ma TX ikiitwa Kontena nayo ilitisha sana. Viongozi wengi kama kina mkwere, marehemu Ben Mkapa na wengineo baa yao tulikua tunawakuta hapo Seaview karibu na Salender Police station nimeisahau jina lake ndio viongozi wengi kilikua kijiwe chao. ilikua inamilikiwa na shirika la umma. Hatari sana mkuu.
 
aise!!, kuna watu mmekula sana maisha katika ujana wenu. utawala wa ruksa nilikuwa bado primary nikifuta ujinga.mengi yaliyotokea yalikuwa juu ya uelewa wangu. nilikuja kuyasikia nilipokuwa O-level na Hi-Level.
Hi level [emoji38]
 
Naikumbuka hio pub ilikua maarufu kwa utengenezaji wa supu na sausages, asubuhi mtu unapaki pembeni unapiga chap chap unateremka mjini, hapo naishi kinondoni squad na kina marehemu Swetu Fundikira, Charles Sanga -rip na wengineo. Kulikua na bar ingine hapo mbele opposite na soko la ma TX ikiitwa Kontena nayo ilitisha sana. Viongozi wengi kama kina mkwere, marehemu Ben Mkapa na wengineo baa yao tulikua tunawakuta hapo Seaview karibu na Salender Police station nimeisahau jina lake ndio viongozi wengi kilikua kijiwe chao. ilikua ilikua inamilikiwa na shirika la umma. Hatari sana mkuu.
Kontena pale kwa kina prosper

Yah tushapiga sana masanga,

Duh sanga anafariki siku hiyo nlimuona kwa macheni ashura
Sasa natoka si unajuwa mambo ya kubadili kiwanja,nyuma huku nasikia jamaa kavuta

Ova
 
Naikumbuka hio pub ilikua maarufu kwa utengenezaji wa supu na sausages, asubuhi mtu unapaki pembeni unapiga chap chap unateremka mjini, hapo naishi kinondoni, squad na kina marehemu Swetu Fundikira, Charles Sanga -rip na wengineo. Kulikua na bar ingine hapo mbele opposite na soko la ma TX ikiitwa Kontena nayo ilitisha sana. Viongozi wengi kama kina mkwere, marehemu Ben Mkapa na wengineo baa yao tulikua tunawakuta hapo Seaview karibu na Salender Police station nimeisahau jina lake ndio viongozi wengi kilikua kijiwe chao. ilikua ilikua inamilikiwa na shirika la umma. Hatari sana mkuu.
Na wakat huo sanga alikuwa mshkji sana na j.ndugai dah kwenye vikao utawakuta wamekaa pmj
Hata ile ajali ambayo unaona mpaka mkono wa sanga ulikuwa kama kilema,hyo siku tulikuwa Hugo pale tunapiga vyombo muda wa kuondoka
Nkawqmbia Acha tukawashushe,nakumbka enzi hzo nlikuwa 505 ,jamaa akasemaa ah wako vzr wataondoka wenyewe
Maana walikuwa na pikipiki,ehh badaye nasikia jamaa pale kivulini wamepata ajali [emoji1]
Hii mitungi nomaaa sana
Any way sanga alikuwa mtu cool sana
Unajuwa kuna watu wanaweza kuondoka na ukabakia kuwamiss na kuwakumbuka

Ova
 
Nilishangaa siku moja dogo mmoja anamuomba jamaa jirani apige picha na Hennesy, what for!
ukiwakuta bar wamechafua meza kwa vinywaji unaweza ugaopa kwa kudhani wanatumia pesa nyingi. ukipigiwa mahesabu unashangaa hata laki haifiki.[emoji1787]
IMG_20230308_161635.jpg
 
Aisee, nimesoma comments zote so far. Ila mrangi umetisha.

mrangi is a full packed human encyclopedia. kichwa chake kimejaa historia ya matukio mengi yaliyoenda sambamba na pilika za vijana wa mjini wa miaka ya 90 mpaka 2000.

huu uzi kaubeba yeye kwa asilimia kubwa japo author ni mimi. he has earned my respect.[emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Back
Top Bottom