Yamkini na wewe ulikuwa mmoja wa watajwa !!!!!!!!!!!!!!!!😀 which is no bad at ll.asante sana mdau kidodosi.[emoji1431][emoji1431]
hapana ndg yangu, mimi kipindi hicho watu kama akina msofe wana run the town, sikuwa na umaarufu wowote.Yamkini na wewe ulikuwa mmoja wa watajwa !!!!!!!!!!!!!!!!😀 which is no bad at ll.
Enzi hizo msofe yuko pande za salamnda Ana deal na pport za bandika bandua [emoji1]hapana ndg yangu, mimi kipindi hicho watu kama akina msofe wana run the town, sikuwa na umaarufu wowote.
nilikuwa bado chalii "nikijitafuta". ktk safari yangu ya kujitafuta nilikuwa mtu wa kujichanganya sana, nikajikuta nawafahamu baadhi ya wajanja wa town wa miaka hiyo.
alhamdulillah baada ya kujitafuta kwa mda mrefu, sasa "nimejipata" na maisha yanasonga.
Mji poa sana huu naupenda sanaNdani ya Bagamoyo town
Nmekuja kuwaletea uzushi na kuwachangamsha wazaramo+wapwani kidogo
[emoji38]
Kuna mtu anapigwa tantalila huku
Carlitos Way
smarte_r
Ova
View attachment 2548891View attachment 2548892View attachment 2548894View attachment 2548895View attachment 2548896
Siku hizi mambo ya mitandao wasap n.k kukutana mara chacheNaona mitaa yetu ya zamani sahv imepoa,hakuna amshaamsha
Mjini kumepoa sana,ina maana vijana siku hakuna wachangamshaji wa mission za twn
Naona hata break point nako kimya
Mjini watu wanakaa kihasarahasara
OvaView attachment 2564737View attachment 2564738View attachment 2564748
kiukweli mitaa yetu ya katikati ya jiji imepoa siku hizi.Naona mitaa yetu ya zamani sahv imepoa,hakuna amshaamsha
Mjini kumepoa sana,ina maana vijana siku hakuna wachangamshaji wa mission za twn
Naona hata break point nako kimya
Mjini watu wanakaa kihasarahasara
OvaView attachment 2564737View attachment 2564738View attachment 2564748
hii mitandao japo inafaida ila imekuja na hasara zake. moja wapo ni "kuleta utengano".Siku hizi mambo ya mitandao wasap n.k kukutana mara chache
Sisi tuko wadogo tunaskia hizo vitu tuu na hao watu
Koba KIMANGA sio KABANDA[emoji28][emoji28]Yule polisi koba kabanda wa Central tulikuwa tunamchangamsha kweri kweri,maana haipiti siku bila kuletewa misala yetu [emoji1] Town hapo
Kuna wakati watu waliasafiri mjini kukapoa koba,akawa anazimiss pilika
Pilika
Mara ya mwisho kuonana naye nakumbuka nlimpelekea zawadi za gloves za ngumi maana alikuwa anapenda sana ngumi....na alikuwa anacheza....
Akaomba sparing nkamchomeleaaa
[emoji1]
Ova
[emoji23] [emoji23]Yule polisi koba kabanda wa Central tulikuwa tunamchangamsha kweri kweri,maana haipiti siku bila kuletewa misala yetu [emoji1] Town hapo
Kuna wakati watu waliasafiri mjini kukapoa koba,akawa anazimiss pilika
Pilika
Mara ya mwisho kuonana naye nakumbuka nlimpelekea zawadi za gloves za ngumi maana alikuwa anapenda sana ngumi....na alikuwa anacheza....
Akaomba sparing nkamchomeleaaa
[emoji1]
Ova
ukimwi wa miaka ile usikie tu kwenye story watu wakisimuliana.Ila wakati huo kulikua na ule Ukimwi grade one ay Juliana. Bora hizi zama zetu za Arv
Mkuu @ Smarte, nimeona nyuzi online yule jamaa umemtaja sana kwenye huu uzi ambae amemuoa aliekua mke wa JB Mpiana, akiitwa Vital Karmehe kateuliwa na rais Tshisekedi kua waziri wa uchumi .Naona hapo JB ndio hawezi hata kumgusa tena huyo ex wake.
YOU ARE SMART INDEED!!!!!!!!! Ujue unaweza kuwa unajichanganya na watu maarufu kama hao na ukatumia hiyo fursa vizuri UKATUSUA !!!!!!!hapana ndg yangu, mimi kipindi hicho watu kama akina msofe wana run the town, sikuwa na umaarufu wowote.
nilikuwa bado chalii "nikijitafuta". ktk safari yangu ya kujitafuta nilikuwa mtu wa kujichanganya sana, nikajikuta nawafahamu baadhi ya wajanja wa town wa miaka hiyo.
alhamdulillah baada ya kujitafuta kwa mda mrefu, sasa "nimejipata" na maisha yanasonga.
ANAUWEZO MKUBWA SANA WA AKILI!!!!Kaupiga mwingi Sana sijui article yake imechukua siku ngapi kuiandaa maana nadhani ilimlazimu apate kwanza playlist zote azisike akinasa jina ana note Pembeni