Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Hongera kwa historia nzuri savimbi alijulikana sana
 
Kuna huyu wa kuitwa SL,katungiwa wimbo na Fally.... huyo ni pedezhyee mpya Congo au?
steve loemba(SL) ni mkongoman na prominent figure congo dr, congo brazaville na baadhi ya nchi za west africa.

jina lake limesikika miaka ya hivi karibuni baada kuimbwa sana na wanamuziki wakubwa wa rhumba akiwemo fally na koffi.

SL ni mjasiriamali na chairman wa kampuni inayojihusisha na masuala ya economic investment, legal and financial strategies.

huyu hapa katika picha.

View attachment 2694572View attachment 2694573View attachment 2694574View attachment 2694575
 

Attachments

  • IMG_20230720_192813.jpg
    119.1 KB · Views: 38
Huu Uzi naufuatilia saaaana ,,Kuna jamaa wa kuitwa muzamir katunzi picha yake unayo niliona Hadi Christian Bella kamtungia nyimbo yake
 
Ina maana Muzammil alishawahi kumcharanga Zari pia??? Huyu mganda ni malaya hio k imevuta mileage za kutosha😀😀😀
possibly...hizo habari nilizisoma kitambo sana kwenye ukurasa wa mange.

jamaa walianza kushika pesa siku nyingi kabla hata nasib abdul hajatoa ngoma yake ya mbagala.
 
it's weekend, acha tupite kwenye uzi wetu huu pendwa ili kutuliza akili kidogo.

katika album ya werrason iliyotoka mwaka 2001 inayofahamika kwa jina la Kibuisa Mpimpa, kuna wimbo mtamu sana wenye title ya blandine.

ndani ya wimbo yametajwa majina ya watu mbalimbali. bila shaka ungependa kuona sura zao. nimekuwekea kipande kifupi cha video.
 

Attachments

  • TikTok_7260812356584738053 (1).mp4
    1.4 MB
endelea kupumzika kwa amani Eric Kenzo
Your browser is not able to display this video.
 
MMkuuu
Mkuuu umenikumbsha mbali sana......enzi Hizo fm ACADEMIA na DIAMOND MUSICA ndo habari ya mjini.......wakat huo mapedesheeeeee ni watu wenye pesaaaa haswaaaaaaa sio mchezo na wakat huo pedesheee anaetajwa kwenye nyimbo wanakuwa wamemwaga notiiiii za ufadhili kwel kwel
 
Kuna rafiki yake Msofe akiitwa Said Mswaki juzi kati nilikutana nae ni mgonjwa nadhani kapata stroke
 
pumzika kwa Amani Gauthier Ewing, rafiki wa karibu wa Fally Ipupa tangu utotoni.
 

Attachments

  • TikTok_7272804095004527904.mp4
    5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…