Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

josee kongolo[emoji1489][emoji1489]
 
Brother hemed bakayoko haishi ufaransa huyu Kwa sasa ni maremu alishawahi kua waziri mkuu ivory coast na kama unafatilia vizuri nyimbo za fally ipupa hivi karibuni , huyu Mzee mpaka alikua anapanda jukwaani kucheza fally akiperform.
anamtaja kabisa na analiza na rip
 
Usichokijuwa hao viongozi wa hizo Francophone Kwa Mwaka muda mwingi wanakuwa Ufaransa.

Kuna Rais hapo anaongoza nchi akiwa Ufaransa, issue ya kufariki na Corona Hemmed Bakayoko niliisikia.
 
Ni marehemu kwa sasa.Alikuwa waziri mkuu wa Ivory coast.Alikufa huko Ujerumani akiwa kwenye matibabu ,aliugua Ini.Ilisemekana alipewa sumu maana alikuwa na ndoto ya kugombea Urais.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji134]
 
R.I.P Patrick Kessy (Kilimo Kwanza)

Mdau alikuwa kwa kipindi hiki anasapoti sana muziki wa dance

Patrick Matolo Felician Kessy

Bilionea umeenda kama maskhara vile
Mungu akulipe mema mzee wangu
Kwa hakika wema hautofutika moyoni mwetu
Mpaka leo napata ridhki kwa kile kidogo ulichotuachia tutaendelea kukuenzi mzee wetu upumzike pahala pema
 
wengi kwa kutokujua hufananisha jina lake na jina la marehemu Kongulu Mobutu aka Sadam Hussein(mtoto mtukutu wa rais wa zamani wa zaire Mobutu Seseseko).

Ninayemzungumzia hapa ni mwanamama Jose Kongolo FBI Mibeko la loi ambaye jina lake linatajwa sana na wanamuziki wakubwa wa Congo DR kwa level ileile ambayo marehemu Kongulu Mobutu aka Sadam Hussein alikuwa anatajwa.

nilishawahi kuandika wasifu wa huyu mama ndani ya uzi huu. pitia post zilizopita.
 

Attachments

  • TikTok_7310695281497066785 (1).mp4
    1.9 MB
nimesoma uzi na kupitia comments zote, sijaona sehemu katajwa,

pedeshee akanyambasira mutu ya watu.

nimesikitika sana.
mimi kama author wa uzi huu na wadau wenzangu wengine wa masuala ya celebrities and powerful public figures wa bara hili la africa hatumfahamu mtu huyo na wala hatujawahi kusikia jina lake.

umaarufu na upedeshee wake bila shaka unaushia kwenye familia yake na kijijini alichozaliwa. karibu tena ndg.
 
Alooo, kwa hyo masikitiko yaendelee siyo?
 
Duuuh katisha huyo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…