Si kweli. Nakukatalia. Dar kuna maajabu gani labda? Mfano watu wa arusha dar mnawapa jambo gani la ajabu? Kwanza wakitaka hao nairobi tena ni karibu tu. We inaelekea ni mshamba huna exposure unadhani dar ndo kila kitu 🤣.Hizo ni stori za kitaa. Kila mwenye hela tz lazima afike dar.
Sio kuwasaidia,Cha kuwaambia ni hv;Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Nilikuwa dar, nilikuwa naomba nilichoenda kufanya huko kiishe haraka nirudi Mwanza yangu[emoji16], yani mpaka unajiuliza huku watu wanapapendea ninii.....au labda ni ushamba ulikuwa unanisumbua ila honestly sikupapenda kwa lolote, kuhusu majengo marefu nakubaliSi kweli. Nakukatalia. Dar kuna maajabu gani labda? Mfano watu wa arusha dar mnawapa jambo gani la ajabu? Kwanza wakitaka hao nairobi tena ni karibu tu. We inaelekea ni mshamba huna exposure unadhani dar ndo kila kitu [emoji1787].
Na wewe hujawahi kufika Mwanza tukufanyeje?Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Ni mbwa na mpuuzi sanaHawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Mim nakuja kua nafanya usafi chumbani kwako hivo tu huko kwingine kutafanywa na wengineHuku ukija bila kazi maalumu utageuzwa kuwa chombo.
Aaah mie ni balaa vita yangu ni muraaa sio ya kidardarVita na maza hausi utaiweza?🤣
Ukiwa unatokea mwanza na kanda hiyo kwa ujumla lazima ushamba ukukimbize dar.Nilikuwa dar, nilikuwa naomba nilichoenda kufanya huko kiishe haraka nirudi Mwanza yangu[emoji16], yani mpaka unajiuliza huku watu wanapapendea ninii.....au labda ni ushamba ulikuwa unanisumbua ila honestly sikupapenda kwa lolote, kuhusu majengo marefu nakubali
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Niko pande za ununio.
Mkuu hao wenye maisha bora mkoani still lazima wamewahi kuja dar.Dar Kubwa mkuu!! Kuna watu wapo mkoa wanaishi maisha mazuri hawataki hata kuja "DIZIM"
-Nenda Shanty Town au Njiro au Gangilonga.
Dar kuna watu wanakaa sehemu mbovu sana ,ushawai kupita Tandale,manzese,mikocheni nyuma ya tmj,msasani maandazi road,kigogo bondeni near magomeni.
Angalau ufike dar kuosha macho.Sio kuwasaidia,Cha kuwaambia ni hv;
Kama hakuna ULAZIMA wa yeye kuja/kwenda asifanye hvyo.
Ila kama hakutakuwa na njia mbadala nyingine tutabaki hukuhuku hasa kwenye mambo ya utafutaji wa Rizki,na maisha Kwa ujumla.Kupanga ni kuchagua
Acha uongo. Arusha uwanja wa ndege KIA zipo ndege nyingi zakwenda nje ya nchiNdege unapandia dar kwenda new york
Hapa unazungukazunguka tu lakini ukweli ni kwamba hakuna mwenye hela tz ambaye hajawahi kufika dar.Si kweli. Nakukatalia. Dar kuna maajabu gani labda? Mfano watu wa arusha dar mnawapa jambo gani la ajabu? Kwanza wakitaka hao nairobi tena ni karibu tu. We inaelekea ni mshamba huna exposure unadhani dar ndo kila kitu 🤣.