Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Huwa unachepuka?Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
Ndoa ya miezi miwili huwezi kutufanya sisi iwe referenceNimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
Kuna ladha tofautiUchepuke huyo mke umemuoa wanini sasa ? Kama unatamani wengine huko nnje
Sawa sawaKuna ladha tofauti
ukimfanya rafiki huwa kuna mengi sana unaepuka na kujikingq nayo hasa stress zisizo na lazima maishani kiukweli hata kama unachepuka iwe siri usimwonyeshe wala kumdharau mana utajiandalia bomu la hiroshima na likilipuka huyopata pa kujishkizia walai.Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
Muhimu kujua umuhimu wa mwenzakoYeah unafiki kunafikiana😉😉
We huwa unafanyaje?Kila mtu afanye vile anaona inafaa
Mi anavotaka namimi natakaWe huwa unafanyaje?
Nadhani huwa ananijaribu tu ili kunipimaHaha mke wako anakufanyia utani tu mzee, lakini usicheze na moto, akikuambia atakutafutia demu ni mtihani huo..
Ndio, na watoto wa nje ya ndoa wapo wa kutoshaHuwa unachepuka?
Ina watoto ambao wapo sekondariNdoa ya miezi miwili huwezi kutufanya sisi iwe reference
Mpende mkeo kuliko wazazi wakoAu siyo