Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Kuna mirinda, pepsi, koka, n.k ukiamua kunywa koka miaka yako yote ni wewe tu; muhimu kila moja ina ladha yake.Unafiki umetutawala waswahili,kila reply hapa inaukana uchepukaji.
Pole mleta mada kwa kujikuta unashauri watu waitumikie dhambi.
Uko sahihiukimfanya rafiki huwa kuna mengi sana unaepuka na kujikingq nayo hasa stress zisizo na lazima maishani kiukweli hata kama unachepuka iwe siri usimwonyeshe wala kumdharau mana utajiandalia bomu la hiroshima na likilipuka huyopata pa kujishkizia walai.
Una mochepuko mingapi?Ndio, na watoto wa nje ya ndoa wapo wa kutosha
Mchepuko ukiwa na viwango, naweka alama kabisa (mtoto).Una mochepuko mingapi?
Na kwa michepuko yako , wewe ni mchepuko kwao au ni main guy?
Acha basi mangiii,Uchepuke huyo mke umemuoa wanini sasa ? Kama unatamani wengine huko nnje
Hujajibu swali la msingi.Mchepuko ukiwa na viwango, naweka alama kabisa (mtoto).
Ukiwa main, utakufa masikini; kama una michepuko 20 na unataka uwe main, kwa siku itakutoka milioni 2.Hujajibu swali la msingi.
kwa michepuko yako , wewe ni mchepuko kwao au ni main guy?
Na hili ndilo la muhimu zaidi.Tuwapende hadi wasifikirie kwamba tuna kazi zingine...
Sasa tatizo la kutoa mil 2 liko wapi?Ukiwa main, utakufa masikini; kama una michepuko 20 na unataka uwe main, kwa siku itakutoka milioni 2.
Wapenda hela utawajua tuUmpe na hela.....
Dunia hii unatakiwa uishi kwa akili, unaweza kufanywa mtumwa kwenye familia za watu.Sasa tatizo la kutoa mil 2 liko wapi?
Wewe si ni mwanaume unatakiwa kutafuta pesa kwa nguvu zako zote.
Kama wwe sio main guy, unajilinda vipi na joto wanalopewa michepuko yako na wadau wao wengine?Ukiwa main, utakufa masikini; kama una michepuko 20 na unataka uwe main, kwa siku itakutoka milioni 2.
unajilinda vipi na network ya michepuko?Dunia hii unatakiwa uishi kwa akili, unaweza kufanywa mtumwa kwenye familia za watu.
Ukijiweka kuwa main, kuna uwezekano ukavvunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe, kumbuka; fainali ni uzeeni pia.Kama wwe sio main guy, unajilinda vipi na joto wanalopewa michepuko yako na wadau wao wengine?
Ukishaweka alama unatulia, yeye ndio anakuwa anakutafuta.unajilinda vipi na network ya michepuko?