Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Mke hawezi kuwa rafiki yako, huo ndo ukweli.Rafiki ana -mipaka, kuna vitu vyako vingi havijui mnakutana juujuu, na mambo ya juu juu ndo maana akaitwa rafiki.
Mkeo ni kinyume, anakujua wewe ndani nje, kiasi ambavyo rafiki zako wangekujua wangekimbia.
Anajua kama ni mnafiki kwa nje au mkweli.Na ujue binadamu tuna mapungufu kibao, mtu yoyote anayekujua kiundani kama mkeo lazima kuna vitu vitamfanya akuone tofauti, na hapa ndo maana kwenye ndoa wanasisitiza KUVUMILIANA NA UPENDO na sio URAFIKI sababu mkeo au mmeo ni beyond URAFIKI, ni mtu ambaye anapaswa kukusamehee au kukuvumilia kila siku, 24 hours/ 12 months. Tuwafanye wake zetu watupende zaidi na kutuvumilia.
 
Kimario ni wewe kweli
 
Kaka uwezi tetea dhambi,kama unachepuka ww n mzinzi tu

Bwashee, nikiwa na mwanamke hata kwenye mahusiano ya kawaida tu ,huwa sioni mwingine kabisa , uchepukaji ni tabia mbovu ,mimi nawacheka tu mkicheka walevi 😅

Kimario ni wewe kweli

nina historia na hawa kina kimario
huyu ana miaka 5 hadi nane namaanisha ana 45 hadi 48 ndio anaona ni sifa kuwa na watoto wa secondari wa michepuko.
ameulizwa una jilindaje na joto hata hajaelewa amezunguka juu juu tuu.
swali ni unajilindaje na stdssss...stissssssss.....hiv...aids???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? ameruka ruka juujuu probably ni mwath.......................................................................
amekuja kujipa matumaini sifuri hapa online.... ukiangalia post zake ni mzee wa misambwanda
picha aliyopost yanyewe inajiele.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…