Hapana AnkoAnko kwa hiyo kila anayepinga uchepukaji ni mnafiki?
Unaishije na mkeo?nina historia na hawa kina kimario
huyu ana miaka 5 hadi nane namaanisha ana 45 hadi 48 ndio anaona ni sifa kuwa na watoto wa secondari wa michepuko.
ameulizwa una jilindaje na joto hata hajaelewa amezunguka juu juu tuu.
swali ni unajilindaje na stdssss...stissssssss.....hiv...aids???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? ameruka ruka juujuu probably ni mwath.......................................................................
amekuja kujipa matumaini sifuri hapa online.... ukiangalia post zake ni mzee wa misambwanda
picha aliyopost yanyewe inajiele.......
Shoo za ziadaHalafu hapohapo anadai mkewe ni rafiki yake
Nini kifanyike, ili uchepukaji uishe?Asee nikiwa kwenye mapenzi na mtu na mpenda kuchepuka naona ni hadithi za wapumbavu tu
Haina shida mangii!Pombe ina shida gani?
Ndoa ya miezi miwili huwezi kutufanya sisi iwe reference
Kosa la kuchepuka linamhusu mwanandoa. Kama mtu yuko singo akitoka na mke /mume wa mtu wa kulaumiwa ni huyo aliyeko ndoaniHapana Anko
Members wawili hapo juu wamemchachafya mleta mada lakini kuna uzi humu walikuwa wanashadadia mambo hayo hayo ya "kuchapa'' wake za watu wanao jirengesha
Ukute na hao nao ni waume za watu Anko😁😁😁Kosa la kuchepuka linamhusu mwanandoa. Kama mtu yuko singo akitoka na mke /mume wa mtu wa kulaumiwa ni huyo aliyeko ndoani
Hapo ndio inakuwa hatari mara mbili 😁Ukute na hao nao ni waume za watu Anko😁😁😁
Inasikitisha sanaha ha ha ha
unafikiria kila mtu anawaza uwazavyo???????????????????????Unaishije na mkeo?
Tuwafanye kuwa marafiki ili kula mema ya duniaunafikiria kila mtu anawaza uwazavyo???????????????????????
I needed this. Ubarikiwe mkuu 🙏🏽
Una maoni ganiMmmhhĥhhhh
Ninayo basi??Una maoni gani
Aya, tuwafanye wapenzi wetu kuwa marafikiNinayo basi??
Sema hayana muongozo...😁