Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Kuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda .

Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni sawa na kidharirisha utu wao.

Anaitwa apeleke matunda katika kundi la wanaume ktk sehemu hiyo,wananunua ndio lakini unakuta mwanaume mmoja mara ashike titi mwingine tako,mwinge mbavu,mwinge began kwa nyakati tofauti tofauti.

Huu ni upuuzi,hao wanawake wapo kujitafutia ridhiki kwa njia halali nu kazi kama kazi nyingine waheshimiwe msi take advantages kipuuzi kutweza utu wao.

Hao wana wake si kwamba wapo tu wengi wanafamilia zao na waume zao,waheshimuni.

Si kwamba wanapenda kufanyiwa hivyo ni kwa sababu hawana jinsi na wanachukulia kama ni changamoto Mei-take advantage,wangetaka kufanyiwa hivyo basi wangekuja kivingine.

Nimeshuhudia maeneo tofauti hii tabia mara kenda hasa buguruni wanapouza mbao na gereji nikienda service ya baby walker yangu.

NINA ICHUKIA HII TABIA.
 
Wewe kumbe hujui ndo wanacho penda sanaa hao wanawake, ndo wanavo pata wateja wao na mwishowe wenza wao.......mwanamke anapenda sana kusifiwa na kjmtamani ndo raha yao
 
Mkuu,wewe ni muhanga? Kama sio muhanga basi nikufungue macho,hao akina mama wanapenda kufanyiwa hivyo ili biashara yao iende,akiwa mkali hataki kushikwa hatapata wateja daima. Kuna dada jirani yangu amefungua mgahawa, mwanzo mwa biashara alikuwa anauza sana ila walipojaribu wanaume kumfanyia hivyo akawa mkali basi wateja wakawa wanahama mmoja baada ya mwingine,sasa hivi anayaota yeye peke yake masufulia ya wali.
 
ila ni kama wanapenda wenyewe, ushasikia kauli za wale wanaouza mihogo mibichi? nimefanya kazi sokoni wanapenda sana kutaniwa na hata wakifanyiwa hivyo unavyosema huwezi kuona resistance yoyote kutoka kwao kuonyesha hawapendi.

Nimewaona wengi, tena wengine anaweza weka beseni lake pembeni mkamalizane ni kama wanauza vyote matunda pamoja na tunda lao
 
Ebu kwenda huko kwani wao wamelalamika? Wao wenyewe wanape da kushikwa titi na kalio.
Hamna mwanamke asiependa kushikwa titi na tako
 
Wapi hapo mkuu nije nile mihogo matunda na mbususu juu
 
Kwahy wanakuwa wamebanwa ila hawasemi πŸ˜‚
 
Hahaha nimeyashuhudia haya pale soko la Veteran, Tazara mkuu, kuna vile vibanda vya store wanalika sana hao, ukiwa na mke muuza matunda na mihogo mibichi muombe Mungu tu asikupe magonjwa
Hao ndio wake sass sii unaona anapambana...superwoman huyo
 
π™°πšœπšŽπšŽ πš”πšžπš—πšŠ πš‘πšŠπš πšŠ πšŸπš’πš“πšŠπš—πšŠ 𝚠𝚊 πš–πšŠπšœπš˜πš”πš˜πš—πš’ πš‘πšŠπšœπšŠ πš πšŠπš•πšŽ πš πšŠπš—πšŠπš˜πš™πšŠπš—πš πš‹πš’πšŠπšœπš‘πšŠπš›πšŠ πšŒπš‘πš’πš—πš’ 𝚊𝚞 πš”πšžπšœπš‘πš’πš”πš’πš›πš’πšŠ πš–πš”πš˜πš—πš˜πš—πš’, πšœπšŠπš—πšŠ πšœπšŠπš—πšŠ πš”/πš”πš˜πš˜ πš—πšŠ πš”πšŠπš›πšžπš–πšŽ, πš πšŠπš—πšŠπšπšŠπš‹πš’πšŠ 𝚣𝚊 πš‘πš˜πšŸπš’πš˜ πšœπšŠπš—πšŠ ,πšžπš—πšŠπš”πšžπšπšŠ πš–πš πšŠπš—πšŠπš–πš”πšŽ πš‘πšŠπš—πšŠ πš‘πšŠπšπšŠ πš‹πš’πšŠπšœπš‘πšŠπš›πšŠ, πš’πš•πšŠ πšŠπš”πš’πš™πš’πšπšŠ πš πšŠπš—πšŠπš–πšœπš‘πš’πš”πšŠ πšœπšŽπš‘πšŽπš–πšž 𝚒𝚊 πš–πš πš’πš•πš’ πš πšŠπš”πšŽ πš—πšŠ πš”πšžπš˜πš—πšπšŽπšŠ πš–πšŠπš—πšŽπš—πš˜ 𝚒𝚊 πš”πšŽπš“πšŽπš•πš’, π™³πšŠπš‘ πš πšŠπš—πšŠπš—πš’πšžπšπš‘πš’ πšœπšŠπš—πšŠ πš–πš™πšŠπš”πšŠ πšžπš—πšŠπš“πš’πšžπš•πš’πš£πšŠ πš‘πš’πšŸπš’ πš‘πšŠπš πšŠ πš‘πšŠπš πšŠπš—πšŠ πš—πšπšžπšπšž 𝚠𝚊 πš”πš’πš”πšŽ πš“πšŠπš™πš˜ 𝚠𝚊𝚠𝚎 πš—πšŠ 𝚞𝚝𝚞 πš‹πšŠπšœπš’ πš”πšŠπš–πšŠ πš‘πšŽπšœπš‘πš’πš–πšŠ πš”πš πšŠπš˜ πš—πšπšžπš–πšž..
πšˆπšŠπšŠπš—πš’ πš‹πšŠπšœπš’ 𝚝𝚞 πš—πšŠπšπšŠπš–πšŠπš—πš’πšπš’ πš”πšžπš πšŠπšŒπš‘πšŠπš›πšŠπš£πšŠ πš–πš’πš”πš πšŠπš“πšž πš’πšœπš’πš’πš˜πš—πšŠ πš’πšπšŠπšπš’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…