Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

Mkuu,wewe ni muhanga? Kama sio muhanga basi nikufungue macho,hao akina mama wanapenda kufanyiwa hivyo ili biashara yao iende,akiwa mkali hataki kushikwa hatapata wateja daima. Kuna dada jirani yangu amefungua mgahawa, mwanzo mwa biashara alikuwa anauza sana ila walipojaribu wanaume kumfanyia hivyo akawa mkali basi wateja wakawa wanahama mmoja baada ya mwingine,sasa hivi anayaota yeye peke yake masufulia ya wali.
sasa kama anafanya hivyo kwa ajili ya biashara, hapendi anajikaza tu
 
Mkuu mambo ya gereji magum na bosi wetu mze almas kila mwezi choon anaweka box la mundoko lmeandikwa msd GOT sjui anatoa wap . Huo niukwel mkuu sna haja yakupindisha.wengi wawauza miogo wana biiashara iilyojificha mkuu
Yaan elfu mbili itasaidia Nini...ndio mana huwa nikipishana na watu huwa najiuliza maswali mengi WAONE hivyo hivyo wamevaa wanatembea Ila matendo yaliyojoficha moyoni ni kichaka.

Elfu mbili haiwezi kumsaidia perhaps wanapata Raha.
 
kama mmoja wa waliowahi shuhudia matukio haya nilisikitika sana lakini baada ya kusoma comment za wadau nimegundua kuwa the thing is illegal but to eliminate it is impossible.
 
Kwa faida ya wengi mfano wadada wauza chakula/ watembeza chakula ni hatare Sana wengi huishia kupata HIV/ AIDS nilikatazwa mapema Sana na mshikaji wangu so be aware usije SEMA haukuambiwa.
 
Kuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda .

Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni sawa na kidharirisha utu wao.

Anaitwa apeleke matunda katika kundi la wanaume ktk sehemu hiyo,wananunua ndio lakini unakuta mwanaume mmoja mara ashike titi mwingine tako,mwinge mbavu,mwinge began kwa nyakati tofauti tofauti.

Huu ni upuuzi,hao wanawake wapo kujitafutia ridhiki kwa njia halali nu kazi kama kazi nyingine waheshimiwe msi take advantages kipuuzi kutweza utu wao.

Hao wana wake si kwamba wapo tu wengi wanafamilia zao na waume zao,waheshimuni.

Si kwamba wanapenda kufanyiwa hivyo ni kwa sababu hawana jinsi na wanachukulia kama ni changamoto Mei-take advantage,wangetaka kufanyiwa hivyo basi wangekuja kivingine.

Nimeshuhudia maeneo tofauti hii tabia mara kenda hasa buguruni wanapouza mbao na gereji nikienda service ya baby walker yangu.

NINA ICHUKIA HII TABIA.
Hii tabia imeota mizizi kuna baadhi ya wanaume wameshaona kawaida kuwashika wanawake wanaowahudumia, wewe mwanaume kabla hujafanya hicho kitendo jiulize huyo mwanamke unaemshika angekuwa mkeo au mama yako au dada yako ndo anafanyiwa kitendo kama hicho ungefurahi?
Wanaume jaribuni kuwa na heshima na nidhamu kwa wanawake wanaoamua kujitajifutia rizki zao bila kutweza utu wao.
 
Kikubwa huongelea willingness, hata akijitoa kwa hohehahe wa mtaa ila kikubwa karidhia. Haina shida

Ila kwenye shurti huwa vibaya. Sasa hapo inategemea na Lady mwenyewe.
Just joking bro, mi sisapoti Mambo haya.
Ila mengi tunayo ona, wahusika Wana ridhika wenyewe.
 
Kuna wanawake kutoa sex ni kawaida sana na wale wa just for fun wanazidi kuongezeka..

Sijui generation inayokuja itakuwaje
siku hizi kupata sex ni chap, kuliko polisi kufika kwenye tukio😂.

shida ni njaa, tamaa na hata ufataji mkumbo.
Sikatai miili yetu Ina uhitaji, ila huku tunako elekea miili Ina kuwa mitaji.
 
Ujasiriamwili...

Yote haya ni umaskini na malezi mabovu
Umasikini na malezi ni Kama 30%, wengine ni maamuzi ya mkumbo tu.

mtu ana fika chuoni ana ona lifestyle ambazo ni fantasy zakez badala ya kuishi anavyo paswa kuwa ana geuka copycat
 
Back
Top Bottom