Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

1. Ni kosa la jinai kumshika mwanamke hadharani kwa kumdhalilisha hasa bila ridhaa yake.
Lakini ikiwa RIDHAA yake inabaki kuwa kosa la jinai kwa kuvunja maadili ya kitanzania

2. Kuuza kwenye ungo au sahani na Kutembeza vitu ni Kazi kama Kazi zingine. Bila kujali anayefanya ni Nani.

Mtu kuwa mwanamke Haimaanishi asifanye Kazi ikiwa yeye mwenyewe kwa hiyari yake ameamua kuifanya na ndio kaona anayoimudu.
Hiyo huruma inatoka wapi kwa mtu kufanya wajibu wake
Naam,naam
 
Kuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda .

Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni sawa na kidharirisha utu wao.

Anaitwa apeleke matunda katika kundi la wanaume ktk sehemu hiyo,wananunua ndio lakini unakuta mwanaume mmoja mara ashike titi mwingine tako,mwinge mbavu,mwinge began kwa nyakati tofauti tofauti.

Huu ni upuuzi,hao wanawake wapo kujitafutia ridhiki kwa njia halali nu kazi kama kazi nyingine waheshimiwe msi take advantages kipuuzi kutweza utu wao.

Hao wana wake si kwamba wapo tu wengi wanafamilia zao na waume zao,waheshimuni.

Si kwamba wanapenda kufanyiwa hivyo ni kwa sababu hawana jinsi na wanachukulia kama ni changamoto mistake advantage,wangetaka kufanyiwa hivyo basi wangekuja kovingine.

Nimeshuhudia maeneo tofauti hii tabia mara kenda hasa buguruni wanapouza mbao na gereji nikienda service ya baby walker yangu.

NINA ICHUKIA HII TABIA.
bro kuna ki2 haukijui,hawa wanawake,wengi wao ni masingo maza
 
Wenye hizi tabia ni kundi fulani kwenye jàmii, na wanaouza vitu kwa hawa wahuni wenye hizi tabia wanafanana kimatendo. Sidhani kàma watu wenye akili wanafanyiana hayo ya kushikànashikàna. Wengi tuu tunanunua kwa hawa wanaotembeza, ila wanaoshikana shikana wana vijiwe vyao.
 
Yeah hii ipo sana pia. Kuna mwingine hiyo ni biashara tu ya cover up. Mchana anauza matunda, jioni anaenda kutega bar kwa hiyo atakaejiingiza mchana anapewa dau, akiweza wanaenda.
Wana liwa liwa kisa vinywaji na chakula, waki ambiwa waliwe wapewe kazi.
ndo Wana Kumbuka standard zao😂🤣
 
Una hoja usikilizwe, pia kwenye daladala msiwashike dada zetu manyonyo na misambwanda acheni kuwabambia na kuwadunga ni kinyume na utu, ukimtaka mtongoze ila sio kumdunga kwenye usafiri
 
Hap ndo watelebani wanajichukulia pointi kuwa mwanamke ni chombo cha ndani.ilikuepusha hayoo
 
Hahaha nimeyashuhudia haya pale soko la Veteran, Tazara mkuu, kuna vile vibanda vya store wanalika sana hao, ukiwa na mke muuza matunda na mihogo mibichi muombe Mungu tu asikupe magonjwa
Sye hapa gereji huwa wakija kama jana alikuuzia muhogo unamwambia muhogowako wajana umenijaza kichupa na buku mbili hapa fanya kunipunnguzia. Unakunja chap ndan ya coster mbovu. Wengne vbindon wamebeba mundoko
 
kwahiyo anakubali unamkunja?
 
Majuzi nilipita sehemu mbaba amepaki gari kakaa pale kwenye kiti cha dereva mlango kaacha wazi na huyo mama kakaa kwa chini na beseni lake anammenyea jamaa ndizi nikabakia nimeduwaa tu sababu ile mikao si ya kuishia kwenye kuuziana ndizi pekee.

Ninachokiona mimi wengi wanafanyiwa hayo kwa kupenda kwao.
 
Mkuu mambo ya gereji magum na bosi wetu mze almas kila mwezi choon anaweka box la mundoko lmeandikwa msd GOT sjui anatoa wap . Huo niukwel mkuu sna haja yakupindisha.wengi wawauza miogo wana biiashara iilyojificha mkuu
Bora umesema,mimi niliona muuza ndizi mtunda kaenda na jamaa kwenye vijibanda katoka anajitengeneza kabeba beseni lake huyoooo... usalama umekuwa mdogo sana na una mwanamke hana msimamo wa kujisimamia mwenyewe ni tabu sana
 
𝙰𝚜𝚎𝚎 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚠𝚊 𝚟𝚒𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚜𝚘𝚔𝚘𝚗𝚒 𝚑𝚊𝚜𝚊 𝚠𝚊𝚕𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚙𝚊𝚗𝚐 𝚋𝚒𝚊𝚜𝚑𝚊𝚛𝚊 𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚊𝚞 𝚔𝚞𝚜𝚑𝚒𝚔𝚒𝚛𝚒𝚊 𝚖𝚔𝚘𝚗𝚘𝚗𝚒, 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚔/𝚔𝚘𝚘 𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚛𝚞𝚖𝚎, 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚝𝚊𝚋𝚒𝚊 𝚣𝚊 𝚑𝚘𝚟𝚢𝚘 𝚜𝚊𝚗𝚊 ,𝚞𝚗𝚊𝚔𝚞𝚝𝚊 𝚖𝚠𝚊𝚗𝚊𝚖𝚔𝚎 𝚑𝚊𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚋𝚒𝚊𝚜𝚑𝚊𝚛𝚊, 𝚒𝚕𝚊 𝚊𝚔𝚒𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚖𝚜𝚑𝚒𝚔𝚊 𝚜𝚎𝚑𝚎𝚖𝚞 𝚢𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚕𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚊 𝚖𝚊𝚗𝚎𝚗𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚎𝚓𝚎𝚕𝚒, 𝙳𝚊𝚑 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚗𝚒𝚞𝚍𝚑𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚖𝚙𝚊𝚔𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚓𝚒𝚞𝚕𝚒𝚣𝚊 𝚑𝚒𝚟𝚒 𝚑𝚊𝚠𝚊 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚍𝚞𝚐𝚞 𝚠𝚊 𝚔𝚒𝚔𝚎 𝚓𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚠𝚎 𝚗𝚊 𝚞𝚝𝚞 𝚋𝚊𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚎𝚜𝚑𝚒𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚘 𝚗𝚐𝚞𝚖𝚞..
𝚈𝚊𝚊𝚗𝚒 𝚋𝚊𝚜𝚒 𝚝𝚞 𝚗𝚊𝚝𝚊𝚖𝚊𝚗𝚒𝚐𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊𝚌𝚑𝚊𝚛𝚊𝚣𝚊 𝚖𝚒𝚔𝚠𝚊𝚓𝚞 𝚒𝚜𝚒𝚢𝚘𝚗𝚊 𝚒𝚍𝚊𝚍𝚒
Wamevurugwa
 
Back
Top Bottom