Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mimi siwasemei kabisa Half american ndio mdauUsije ukajitoa mhanga kuwatetea na ukumbuke wateja wao wengi ni wanaume, mwanamke atakula muhogo mbichi wapi na wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwasemei kabisa Half american ndio mdauUsije ukajitoa mhanga kuwatetea na ukumbuke wateja wao wengi ni wanaume, mwanamke atakula muhogo mbichi wapi na wapi
Nani anakuambia wana dhalilika au wewe ndo unahisi hivo, maisha ya wanawake kwa 80% ni pretence na kujilizaliza hata kwenye raha zao, jifunze saikolojia ya wanawake mkuuWewe itakuwa tabia yako hakuna binadamu anayependa kudhalilika ila inapobidi .
kumbeMimi siwasemei kabisa Half american ndio mdau
Ukiona nyumba inafuka moshi ujue moto ushawashwa huo sio udharirishaji bari hujiraisi zaidi kuhakikisha bidhaa anayouza inaisha mapemaKuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda .
Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni sawa na kidharirisha utu wao.
Anaitwa apeleke matunda katika kundi la wanaume ktk sehemu hiyo,wananunua ndio lakini unakuta mwanaume mmoja mara ashike titi mwingine tako,mwinge mbavu,mwinge began kwa nyakati tofauti tofauti.
Huu ni upuuzi,hao wanawake wapo kujitafutia ridhiki kwa njia halali nu kazi kama kazi nyingine waheshimiwe msi take advantages kipuuzi kutweza utu wao.
Hao wana wake si kwamba wapo tu wengi wanafamilia zao na waume zao,waheshimuni.
Si kwamba wanapenda kufanyiwa hivyo ni kwa sababu hawana jinsi na wanachukulia kama ni changamoto mistake advantage,wangetaka kufanyiwa hivyo basi wangekuja kovingine.
Nimeshuhudia maeneo tofauti hii tabia mara kenda hasa buguruni wanapouza mbao na gereji nikienda service ya baby walker yangu.
NINA ICHUKIA HII TABIA.
Yeue ansema anawaita kufanya usafi kwake na kumfulia nguo akimaliza mdada ana angalia tv kusubiri ngup zikauke akunje 😂kumbe
Mdau wa nini? Labda kama ni mdau wa vifurushi vyao vile vya mihogo, nazi, karoti na karanga.Mimi siwasemei kabisa Half american ndio mdau
Au sioMdau wa nini? Labda kama ni mdau wa vifurushi vyao vile vya mihogo, nazi, karoti na karanga.
NdioAu sio
Si unawaita wakufanyie usafiNdio
Ndio kwani kuna ubaya?Si unawaita wakufanyie usafi
Umeona alikuwa hataki Ila amesusiwa biashara kwa sababu kuna standard imewekwaMkuu,wewe ni muhanga? Kama sio muhanga basi nikufungue macho,hao akina mama wanapenda kufanyiwa hivyo ili biashara yao iende,akiwa mkali hataki kushikwa hatapata wateja daima. Kuna dada jirani yangu amefungua mgahawa, mwanzo mwa biashara alikuwa anauza sana ila walipojaribu wanaume kumfanyia hivyo akawa mkali basi wateja wakawa wanahama mmoja baada ya mwingine,sasa hivi anayaota yeye peke yake masufulia ya wali.
Yeah hii ipo sana pia. Kuna mwingine hiyo ni biashara tu ya cover up. Mchana anauza matunda, jioni anaenda kutega bar kwa hiyo atakaejiingiza mchana anapewa dau, akiweza wanaenda.Kuna wengine wameanzisha hiyo biashara kama kichaka cha kujifichia biashara yake nyingine ya ukahaba ingawa wapo wengine wapo genuine na biashara yake.
Kwenye hizi biashara za matunda na vyakula, wengi wanajistiri kwa madela na nguo za kawaida.Mwanamke yeyote ataheshimiwa kwa vile anavyojiweka yeye mwenyewe. Wapo wengi wanaovaa hijabu au nguo za heshima mbona hawachokozwi kabisa, wanaume wanakuwa na adabu hata wakiongea nao. Sasa wewe unavaa tight imekuchora makalio yote au skin jeans au kimini kipo juu ya magoti unategemea nini.
Mbaya sana na wengine hutumia nafasi hiyo kuwataka kimapenzi halafu kesho yake wanawatangaza mtaaniAnaitwa apeleke matunda katika kundi la wanaume ktk sehemu hiyo,wananunua ndio lakini unakuta mwanaume mmoja mara ashike titi mwingine tako,mwinge mbavu,mwinge began kwa nyakati tofauti tofauti.
Huu ni upuuzi,hao wanawake wapo kujitafutia ridhiki kwa njia halali nu kazi kama kazi nyingine waheshimiwe msi take advantages kipuuzi kutweza utu wao.
Yeah hii ipo sana pia. Kuna mwingine hiyo ni biashara tu ya cover up. Mchana anauza matunda, jioni anaenda kutega bar kwa hiyo atakaejiingiza mchana anapewa dau, akiweza wanaenda.