Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

Naam,naam
 
bro kuna ki2 haukijui,hawa wanawake,wengi wao ni masingo maza
 
Wenye hizi tabia ni kundi fulani kwenye jΓ mii, na wanaouza vitu kwa hawa wahuni wenye hizi tabia wanafanana kimatendo. Sidhani kΓ ma watu wenye akili wanafanyiana hayo ya kushikΓ nashikΓ na. Wengi tuu tunanunua kwa hawa wanaotembeza, ila wanaoshikana shikana wana vijiwe vyao.
 
Yeah hii ipo sana pia. Kuna mwingine hiyo ni biashara tu ya cover up. Mchana anauza matunda, jioni anaenda kutega bar kwa hiyo atakaejiingiza mchana anapewa dau, akiweza wanaenda.
Wana liwa liwa kisa vinywaji na chakula, waki ambiwa waliwe wapewe kazi.
ndo Wana Kumbuka standard zaoπŸ˜‚πŸ€£
 
Una hoja usikilizwe, pia kwenye daladala msiwashike dada zetu manyonyo na misambwanda acheni kuwabambia na kuwadunga ni kinyume na utu, ukimtaka mtongoze ila sio kumdunga kwenye usafiri
 
Hap ndo watelebani wanajichukulia pointi kuwa mwanamke ni chombo cha ndani.ilikuepusha hayoo
 
Hahaha nimeyashuhudia haya pale soko la Veteran, Tazara mkuu, kuna vile vibanda vya store wanalika sana hao, ukiwa na mke muuza matunda na mihogo mibichi muombe Mungu tu asikupe magonjwa
Sye hapa gereji huwa wakija kama jana alikuuzia muhogo unamwambia muhogowako wajana umenijaza kichupa na buku mbili hapa fanya kunipunnguzia. Unakunja chap ndan ya coster mbovu. Wengne vbindon wamebeba mundoko
 
Sye hapa gereji huwa wakija kama jana alikuuzia muhogo unamwambia muhogowako wajana umenijaza kichupa na buku mbili hapa fanya kunipunnguzia. Unakunja chap ndan ya coster mbovu. Wengne vbindon wamebeba mundoko
kwahiyo anakubali unamkunja?
 
Majuzi nilipita sehemu mbaba amepaki gari kakaa pale kwenye kiti cha dereva mlango kaacha wazi na huyo mama kakaa kwa chini na beseni lake anammenyea jamaa ndizi nikabakia nimeduwaa tu sababu ile mikao si ya kuishia kwenye kuuziana ndizi pekee.

Ninachokiona mimi wengi wanafanyiwa hayo kwa kupenda kwao.
 
Mkuu mambo ya gereji magum na bosi wetu mze almas kila mwezi choon anaweka box la mundoko lmeandikwa msd GOT sjui anatoa wap . Huo niukwel mkuu sna haja yakupindisha.wengi wawauza miogo wana biiashara iilyojificha mkuu
Bora umesema,mimi niliona muuza ndizi mtunda kaenda na jamaa kwenye vijibanda katoka anajitengeneza kabeba beseni lake huyoooo... usalama umekuwa mdogo sana na una mwanamke hana msimamo wa kujisimamia mwenyewe ni tabu sana
 
Wamevurugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…