Tuwaheshimu hawa wanawake wanaozungusha biashara mtaani

sasa kama anafanya hivyo kwa ajili ya biashara, hapendi anajikaza tu
 
Mkuu mambo ya gereji magum na bosi wetu mze almas kila mwezi choon anaweka box la mundoko lmeandikwa msd GOT sjui anatoa wap . Huo niukwel mkuu sna haja yakupindisha.wengi wawauza miogo wana biiashara iilyojificha mkuu
Yaan elfu mbili itasaidia Nini...ndio mana huwa nikipishana na watu huwa najiuliza maswali mengi WAONE hivyo hivyo wamevaa wanatembea Ila matendo yaliyojoficha moyoni ni kichaka.

Elfu mbili haiwezi kumsaidia perhaps wanapata Raha.
 
kama mmoja wa waliowahi shuhudia matukio haya nilisikitika sana lakini baada ya kusoma comment za wadau nimegundua kuwa the thing is illegal but to eliminate it is impossible.
 
Kwa faida ya wengi mfano wadada wauza chakula/ watembeza chakula ni hatare Sana wengi huishia kupata HIV/ AIDS nilikatazwa mapema Sana na mshikaji wangu so be aware usije SEMA haukuambiwa.
 
Hii tabia imeota mizizi kuna baadhi ya wanaume wameshaona kawaida kuwashika wanawake wanaowahudumia, wewe mwanaume kabla hujafanya hicho kitendo jiulize huyo mwanamke unaemshika angekuwa mkeo au mama yako au dada yako ndo anafanyiwa kitendo kama hicho ungefurahi?
Wanaume jaribuni kuwa na heshima na nidhamu kwa wanawake wanaoamua kujitajifutia rizki zao bila kutweza utu wao.
 
Kikubwa huongelea willingness, hata akijitoa kwa hohehahe wa mtaa ila kikubwa karidhia. Haina shida

Ila kwenye shurti huwa vibaya. Sasa hapo inategemea na Lady mwenyewe.
Just joking bro, mi sisapoti Mambo haya.
Ila mengi tunayo ona, wahusika Wana ridhika wenyewe.
 
Kuna wanawake kutoa sex ni kawaida sana na wale wa just for fun wanazidi kuongezeka..

Sijui generation inayokuja itakuwaje
siku hizi kupata sex ni chap, kuliko polisi kufika kwenye tukio😂.

shida ni njaa, tamaa na hata ufataji mkumbo.
Sikatai miili yetu Ina uhitaji, ila huku tunako elekea miili Ina kuwa mitaji.
 
Ujasiriamwili...

Yote haya ni umaskini na malezi mabovu
Umasikini na malezi ni Kama 30%, wengine ni maamuzi ya mkumbo tu.

mtu ana fika chuoni ana ona lifestyle ambazo ni fantasy zakez badala ya kuishi anavyo paswa kuwa ana geuka copycat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…