Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

Siku Mshana Jr akipigwa bana wanaJF wote tutaandamana Hadi ofisi za JF pale Mikocheni😂

Huyu mwamba namheshimu Sana hanaga baya, Kuna watu huwa wanajiburuza kwake kwa kumsimanga eti sijui ndo wapate umaarufu ama Nini bt mwisho wa siku huwa wanaambulia ban😂

Mshana huwa hajibizani na watu wa midomo michafu,na hii tactic imemfanya kuepuka kupigwa bana.
 
Good Friday Kareem.

Dhumuni la uzi huu ni kuwatambua wenzetu ambao wamekuwa ni watiifu wa mila na desturi na tamaduni zilizowekwa na uongozi wa JamiiForums ili sisi sote tuufuate.

Mzee Mohamed Said amekuwa ni babu na baba bora wa jukwaa hili. Umsimange, umkebehi, umwite jina lolote baya au umkashifu kwa kashfa yoyote ile, atakuangalia, atakuelimisha, na akikuona ni kichwa ngumu atapita zake kando akuache na keyboard [emoji987] yako.

Mzee huyu hajawahi kupewa adhabu yoyote, ila muda wote amekuwa akipokea zawadi za kuwa member bora zaidi hapa jukwaani.

Skylar, huyu ni mdada mwenye kichwa chake matata sana. Sio under dog ila ni underground member ambaye amekuwa akijificha kwenye majukwaa rahisi, na inapombidi huwa anaingia kwenye majukwaa magumu na kutema madini adhimu. Skylar hajawahi kuchezea ban.

Pascal Mayalla a.k.a MWANASHERIA msomi, mchambuzi wa kisiasa na mshauri na muonyesha njia wa taifa hili, bro wangu huyu ni miongoni mwa members wanaosakamwa na wakati mwingine kutukanwa matusi makubwa kabisa, lakini ana uvumilivu wa hali ya juu sana. Hekima anayoipata kutoka kwa yohana Mtebezi imemfanya awe very calm muda wote. Haijui ban.

Mshana Jr, huyu ni member maarufu kuliko member mwingine yeyote, na pia amekuwa kioo kwa wengi hapa jukwaani. Tangu amejiunga, hajachezea mkasi wa ban.

Gwappo Mwakatobe, amekuwa mchangiaji wa muda mrefu na hajawahi kupatwa na hayo makitu.

Sky Eclat , mwanamama mwenye upeo wake, muhabarishaji ,muelimishaji na mchangamshajo. Kwake ban NO.

Wengine ni Nazjaz, Jemima Mrembo , Chakorii, Elli, ndyoko, Kipaji Halisi, Madame B na wengine wengi.

FaizaFoxy yeye kachezea sana ban enzi zile, na mwenzake Malaria Sugu alipigwa life ban.

Maisha ni mazuri sana aisee
Thanks brother.. Kesho Jumamosi hebu nipange [emoji2] tuone tunaanzaje sikukuu[emoji173]
 
Siku Mshana Jr akipigwa bana wanaJF wote tutaandamana Hadi ofisi za JF pale Mikocheni😂

Huyu mwamba namheshimu Sana hanaga baya, Kuna watu huwa wanajiburuza kwake kwa kumsimanga eti sijui ndo wapate umaarufu ama Nini bt mwisho wa siku huwa wanaambulia ban😂

Mshana huwa hajibizani na watu wa midomo michafu,na hii tactic imemfanya kuepuka kupigwa bana.
Muulize,amewahi kula ban?🤔
 
Siku Mshana Jr akipigwa bana wanaJF wote tutaandamana Hadi ofisi za JF pale Mikocheni[emoji23]

Huyu mwamba namheshimu Sana hanaga baya, Kuna watu huwa wanajiburuza kwake kwa kumsimanga eti sijui ndo wapate umaarufu ama Nini bt mwisho wa siku huwa wanaambulia ban[emoji23]

Mshana huwa hajibizani na watu wa midomo michafu,na hii tactic imemfanya kuepuka kupigwa bana.
[emoji3][emoji3][emoji1752][emoji1548][emoji173]
 
Good Friday Kareem.

Dhumuni la uzi huu ni kuwatambua wenzetu ambao wamekuwa ni watiifu wa mila na desturi na tamaduni zilizowekwa na uongozi wa JamiiForums ili sisi sote tuufuate.

Mzee Mohamed Said amekuwa ni babu na baba bora wa jukwaa hili. Umsimange, umkebehi, umwite jina lolote baya au umkashifu kwa kashfa yoyote ile, atakuangalia, atakuelimisha, na akikuona ni kichwa ngumu atapita zake kando akuache na keyboard [emoji987] yako.

Mzee huyu hajawahi kupewa adhabu yoyote, ila muda wote amekuwa akipokea zawadi za kuwa member bora zaidi hapa jukwaani.

Skylar, huyu ni mdada mwenye kichwa chake matata sana. Sio under dog ila ni underground member ambaye amekuwa akijificha kwenye majukwaa rahisi, na inapombidi huwa anaingia kwenye majukwaa magumu na kutema madini adhimu. Skylar hajawahi kuchezea ban.

Pascal Mayalla a.k.a MWANASHERIA msomi, mchambuzi wa kisiasa na mshauri na muonyesha njia wa taifa hili, bro wangu huyu ni miongoni mwa members wanaosakamwa na wakati mwingine kutukanwa matusi makubwa kabisa, lakini ana uvumilivu wa hali ya juu sana. Hekima anayoipata kutoka kwa yohana Mtebezi imemfanya awe very calm muda wote. Haijui ban.

Mshana Jr, huyu ni member maarufu kuliko member mwingine yeyote, na pia amekuwa kioo kwa wengi hapa jukwaani. Tangu amejiunga, hajachezea mkasi wa ban.

Gwappo Mwakatobe, amekuwa mchangiaji wa muda mrefu na hajawahi kupatwa na hayo makitu.

Sky Eclat , mwanamama mwenye upeo wake, muhabarishaji ,muelimishaji na mchangamshajo. Kwake ban NO.

Wengine ni Nazjaz, Jemima Mrembo , Chakorii, Elli, ndyoko, Kipaji Halisi, Madame B na wengine wengi.

FaizaFoxy yeye kachezea sana ban enzi zile, na mwenzake Malaria Sugu alipigwa life ban.

Maisha ni mazuri sana aisee
Hpana buji kuna siku mshana alipigwa ban mpaka ikaanzishwa thread humu kua mshana awekwe huru na kipindi kile watu wengi walichezea Ban
 
Back
Top Bottom