Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Ramli chonganishi tu mzee, au kuna nongwa?Unamtambuaje ambae hajawahi kula bani?kuna kitufe maalum kinakuonyesha au kwa kukisia na kumuuliza muhusika!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramli chonganishi tu mzee, au kuna nongwa?Unamtambuaje ambae hajawahi kula bani?kuna kitufe maalum kinakuonyesha au kwa kukisia na kumuuliza muhusika!!!?
Mimi bwana ni nzehe o walwa, nyooh na nyamaLeo utabugia vikali na asusa ni kabeji tu.No kula nyama@Bujibuji
Ndio umeshaingia tayari orodhaniMbona hata mimi sijawahi kupigwa ban! Na nipo active sana
Nimekumbuka [emoji23] nilifanya utani chitchat wa kuomba ban.. Kumbe bwana Moderator habwipwiwi.. Akanipigia[emoji23] kama masaa 3 hivi nadhaniHpana buji kuna siku mshana alipigwa ban mpaka ikaanzishwa thread humu kua mshana awekwe huru na kipindi kile watu wengi walichezea Ban
Leo utabugia vikali na asusa ni kabeji tu.No kula nyama@Bujibuji
.....hongera sana mkuu.....Mimi pia sina bani hata moja, mbona hujanisema?
......hongera sana kwako mkuu......Mbona hata mimi sijawahi kupigwa ban! Na nipo active sana
Ahsante.....hongera sana mkuu.....
......huyu anko ni mtu mzima kidogo, sio kijana wa hovyo kama sisi wengine, komenti zake ni kama anavyotreat watoto wake kwenye familia, so hata ukitukana utaelekezwa namna nzuri kuacha matusi.....Pascal Mayalla aiseee hata ujibu vibaya vipi yeye atakuelimisha tuuu, kongole brother.
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume , kwanza asante sana, japo Ijumaa Kuu ni siku ya huzuni kwa sisi Wakristo Wakatoliki, lakini kuianza siku kwa maneno mazuri haya you have made my day!. Thanks.Pascal Mayalla a.k.a MWANASHERIA msomi, mchambuzi wa kisiasa na mshauri na muonyesha njia wa taifa hili, bro wangu huyu ni miongoni mwa members wanaosakamwa na wakati mwingine kutukanwa matusi makubwa kabisa, lakini ana uvumilivu wa hali ya juu sana. Hekima anayoipata kutoka kwa yohana Mtebezi imemfanya awe very calm muda wote. Haijui ban.
Maisha ni mazuri sana aisee
Mimi na wewe tupo kwenye ....."na wengine wengi"Mimi pia sina bani hata moja, mbona hujanisema?
Shukrani mkuu, karibu tusherekee pasakaGood Friday Kareem.
Dhumuni la uzi huu ni kuwatambua wenzetu ambao wamekuwa ni watiifu wa mila na desturi na tamaduni zilizowekwa na uongozi wa JamiiForums ili sisi sote tuufuate.
Mzee Mohamed Said amekuwa ni babu na baba bora wa jukwaa hili. Umsimange, umkebehi, umwite jina lolote baya au umkashifu kwa kashfa yoyote ile, atakuangalia, atakuelimisha, na akikuona ni kichwa ngumu atapita zake kando akuache na keyboard ⌨ yako.
Mzee huyu hajawahi kupewa adhabu yoyote, ila muda wote amekuwa akipokea zawadi za kuwa member bora zaidi hapa jukwaani.
Skylar, huyu ni mdada mwenye kichwa chake matata sana. Sio under dog ila ni underground member ambaye amekuwa akijificha kwenye majukwaa rahisi, na inapombidi huwa anaingia kwenye majukwaa magumu na kutema madini adhimu. Skylar hajawahi kuchezea ban.
Pascal Mayalla a.k.a MWANASHERIA msomi, mchambuzi wa kisiasa na mshauri na muonyesha njia wa taifa hili, bro wangu huyu ni miongoni mwa members wanaosakamwa na wakati mwingine kutukanwa matusi makubwa kabisa, lakini ana uvumilivu wa hali ya juu sana. Hekima anayoipata kutoka kwa yohana Mtebezi imemfanya awe very calm muda wote. Haijui ban.
Mshana Jr, huyu ni member maarufu kuliko member mwingine yeyote, na pia amekuwa kioo kwa wengi hapa jukwaani. Tangu amejiunga, hajachezea mkasi wa ban.
Gwappo Mwakatobe, amekuwa mchangiaji wa muda mrefu na hajawahi kupatwa na hayo makitu.
Sky Eclat , mwanamama mwenye upeo wake, muhabarishaji ,muelimishaji na mchangamshajo. Kwake ban NO.
Wengine ni Nazjaz, Jemima Mrembo , Chakorii, Elli, ndyoko, Kipaji Halisi, Madame B na wengine wengi.
FaizaFoxy yeye kachezea sana ban enzi zile, na mwenzake Malaria Sugu alipigwa life ban.
Maisha ni mazuri sana aisee
Nafahamu, mimi nilianza kumsikia kitambo toka 90 huko......huyu anko ni mtu mzima kidogo, sio kijana wa hovyo kama sisi wengine, komenti zake ni kama anavyotreat watoto wake kwenye familia, so hata ukitukana utaelekezwa namna nzuri kuacha matusi.....
Mimi SIJAWAHI KUPIGWA BAN MBONA HUJANITAJA?Good Friday Kareem.