Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

Wengine suala la Ban kwetu ni msamiati
Hatujui ata ndo ina fananaje
 
Giles vipi alipewa bani.yule mwenyewe matako makubwa?

na chamdeko?
 
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume , kwanza asante sana, japo Ijumaa Kuu ni siku ya huzuni kwa sisi Wakristo Wakatoliki, lakini kuianza siku kwa maneno mazuri haya you have made my day!. Thanks.

Ila mimi niliwahi kupigwa mara moja by mistakes,, ban hiyo inaniuma mpaka kesho!.
Enzi hizo Chadema wametamalaki humu JF na kujiona kama jf ni mali yao.

Mwana JF Mkuu Molemo akapandisha utumbo fulani humu JF ya enzi zile za Chadema na mautumbo yao.

Akaibuka mwanajf fulani na kumtaja Molemo ni nani, na kulitaja jina lake halisi na cheo chake halisi pale Ufipa!, kumbe ni mtu very senior pale Chadema!.

Mimi nikachangia kwa kum quotes huyo member na ku comment kama ni kweli huyo aliyetajwa kuwa ndiye Molemo, nikashauri kwa mtu senior wa kiwango hicho sio busara kuleta utumbo wa hivyo humu!. Nikashauri matumizi ya pen names ni just a privilege to maintain anonymity for freedom of expression, watu humu wasiitumie vibaya privilege hiyo vibaya kwa kuleta humu kila utumbo kwasababu tuu ya pen names!.

Mkuu Molemo akanishitaki kwa mode kuwa ni mimi ndiye ni nimemtaja yeye ni nani hivyo ku breech name calling, nikapigwa ban.

Nilikasirika sana kwasababu Molemo alimshitaki a wrong person. Halafu yule aliyefanya name calling ya Molemo ni nani, hakufanywa kitu!.

Nililalamika kunakohusika ban zinaondolewa mkosaji akaadhibiwa thread ile ikafutwa jumla. That was it. Hivyo mimi sistahili kuingia kwa ambao hawajala ban
B.
Asante kwa masahihisho na marekesho. Dah, alikukera sana aisee, huwa nakuona wewe una kiwango cha juu sana cha uvumilivu. Asante
 
Pamoja na kuwa verefeidi yuza waliwahi nipiga ban.🥹🥹🥹

😆😆😆 nitakuletea umfuge
 
Mimi pia sina bani hata moja, mbona hujanisema?
Humu kuna watu na binadamu.
Hao ni binadamu ni ma legend kama wanavyojiita bila kusema. Yaani hata ufanyaje huwezi kuwafikia kwa chochote humu. Hata kama hawapo, washakufa, wamepalalaizi kwa uzee lakini sifa zao zadumu milele ndani ya JF...halafu wanamisemo yao sema tu hujapei atensheni.
Hahaaaaaaaaa
(Joke)
 
Back
Top Bottom