Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

Siku Mshana Jr akipigwa bana wanaJF wote tutaandamana Hadi ofisi za JF pale Mikocheni😂

Huyu mwamba namheshimu Sana hanaga baya, Kuna watu huwa wanajiburuza kwake kwa kumsimanga eti sijui ndo wapate umaarufu ama Nini bt mwisho wa siku huwa wanaambulia ban😂

Mshana huwa hajibizani na watu wa midomo michafu,na hii tactic imemfanya kuepuka kupigwa bana.
 
Thanks brother.. Kesho Jumamosi hebu nipange [emoji2] tuone tunaanzaje sikukuu[emoji173]
 
Muulize,amewahi kula ban?🤔
 
[emoji3][emoji3][emoji1752][emoji1548][emoji173]
 
Hpana buji kuna siku mshana alipigwa ban mpaka ikaanzishwa thread humu kua mshana awekwe huru na kipindi kile watu wengi walichezea Ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…