Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

Dj mnyanyue mrembo Chakorii na wimbo wa "nidhamu ndiyo msingi wa maendeleo" aje achukue zawadi yake ya nidhamu Bora please.
 
Pascal Mayalla aiseee hata ujibu vibaya vipi yeye atakuelimisha tuuu, kongole brother.
......huyu anko ni mtu mzima kidogo, sio kijana wa hovyo kama sisi wengine, komenti zake ni kama anavyotreat watoto wake kwenye familia, so hata ukitukana utaelekezwa namna nzuri kuacha matusi.....
 
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume , kwanza asante sana, japo Ijumaa Kuu ni siku ya huzuni kwa sisi Wakristo Wakatoliki, lakini kuianza siku kwa maneno mazuri haya you have made my day!. Thanks.

Ila mimi niliwahi kupigwa mara moja by mistakes,, ban hiyo inaniuma mpaka kesho!.
Enzi hizo Chadema wametamalaki humu JF na kujiona kama jf ni mali yao.

Mwana JF Mkuu Molemo akapandisha utumbo fulani humu JF ya enzi zile za Chadema na mautumbo yao.

Akaibuka mwanajf fulani na kumtaja Molemo ni nani, na kulitaja jina lake halisi na cheo chake halisi pale Ufipa!, kumbe ni mtu very senior pale Chadema!.

Mimi nikachangia kwa kum quotes huyo member na ku comment kama ni kweli huyo aliyetajwa kuwa ndiye Molemo, nikashauri kwa mtu senior wa kiwango hicho sio busara kuleta utumbo wa hivyo humu!. Nikashauri matumizi ya pen names ni just a privilege to maintain anonymity for freedom of expression, watu humu wasiitumie vibaya privilege hiyo vibaya kwa kuleta humu kila utumbo kwasababu tuu ya pen names!.

Mkuu Molemo akanishitaki kwa mode kuwa ni mimi ndiye ni nimemtaja yeye ni nani hivyo ku breech name calling, nikapigwa ban.

Nilikasirika sana kwasababu Molemo alimshitaki a wrong person. Halafu yule aliyefanya name calling ya Molemo ni nani, hakufanywa kitu!.

Nililalamika kunakohusika ban zinaondolewa mkosaji akaadhibiwa thread ile ikafutwa jumla. That was it. Hivyo mimi sistahili kuingia kwa ambao hawajala ban
B.
 
Shukrani mkuu, karibu tusherekee pasaka
 
......huyu anko ni mtu mzima kidogo, sio kijana wa hovyo kama sisi wengine, komenti zake ni kama anavyotreat watoto wake kwenye familia, so hata ukitukana utaelekezwa namna nzuri kuacha matusi.....
Nafahamu, mimi nilianza kumsikia kitambo toka 90 huko
 
Mimi SIJAWAHI KUPIGWA BAN MBONA HUJANITAJA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…