Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Wimbi la kitintale, (Ibra radi washokera kama sijasahau)
Kubali tuyamalize! Lilian+Oscar+Victor+Ernest=LOVE, Bawji bana!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbi la kitintale, (Ibra radi washokera kama sijasahau)
Mimi natamani sana kitabu cha ROSE MISTIKA,HEKAYA ZA ABUNWASI,MASHIMO YA MFALUME SULEIMANI,VITUKO VYA BULICHEKA.Euphrace Kezilahabi
1. Roza Mistika
2. Dunia Uwanja wa Fujo
Faraji Katalambula
1. Simu ya Kifo
Fika Mtaa wa Samora opposite iliyokuwa Salamander Hotel, unaweza ukabahatisha.
Hiki chaitwa: "Is it Possible?" Maduka ya vitabu yanauza kitabu hiki. Kama uko Arudsha, tembelea KASE Bookshop!Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa Riwaya wa Tanzania.
Hamie Rajab
1. Miujiza ya Mlima Kolelo
2. Dunia Hadaa
mi nataka sana sasa ndo muda muafaka wa kusoma vitabu kwangu kwa maana ntakuwa naelewa si kusoma kwa kujibu mitihani kunakitabu nakitafuta kinaitwa you can not hold a bible and a spear naweza pata wapi nielekeze jamani nina orodha ndefu sasa nataka niwe napata copy moja baada ya moja
Ni kweli kabisa kuhusu waandishi wetu wa vitabu vya hadithi. Nina swali moja ambalo ninaomba kama munaweza kuchangia, itanisaidia kujua.
Swali: Ni kitabu gani cha hadithi hizi kitafaa kuigizwa kwenye film za video. Naomba ushauri wenu
Ipan