Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Maftah nilikuwa namkubaliItasaisia nini.
Mbona mnaendekeza Simba na Yanga .
Anyway ngoja tukusaidie.
1.JUMA kaseja.
2.Ivo mapunda
3.Amiri maftah.
4.Nurdin Bakari.
5. Jonas mkude.
6. Mrisho Ngassa.
7. OTHMAN Idd chuji.
8.Saido Ntibazonkiza.
9. Amri KiembaItasaisia nini.
Mbona mnaendekeza Simba na Yanga .
Anyway ngoja tukusaidie.
1.JUMA kaseja.
2.Ivo mapunda
3.Amiri maftah.
4.Nurdin Bakari.
5. Jonas mkude.
6. Mrisho Ngassa.
7. OTHMAN Idd chuji.
8.Saido Ntibazonkiza.
Nteze John .Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.
Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.
Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi akiwa Yanga.
List ni ndefu tuendelee…
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.
Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.
Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi akiwa Yanga.
List ni ndefu tuendelee…
Hapo hakuna hata mmoja, japo Mkwasa aliwahi sajili Simba, lakini FAT ilimuidhinisha aendelee kutumikia YangaBila kumtaja Aden Rage hii thread itakuwa haina maana.
Kuna Masimeti, chogochemba, Hamisi Kinye, Charles Boniface Mkwasa, Makenzi Ramadhani, Kitwana Manara, Sunday Manara.....
Hapo hakuna hata mmoja, japo Mkwasa aliwahi sajili Simba, lakini FAT ilimuidhinisha aendelee kutumikia Yanga
Umesahau Athumani China alichukuwa mpunga wa Makolo¿Kama victor Costa alivyowapiga yanga Hela ZAO.........
Victor Costa Nyumba kiboko Yao
Sikuelewa kumbe thread inawahusu kina Thomas Kipese na Zamoyoni Mogela.Hapo hakuna hata mmoja, japo Mkwasa aliwahi sajili Simba, lakini FAT ilimuidhinisha aendelee kutumikia Yanga
Kizota,chuji,mogella woteSikuelewa kumbe thread inawahusu kina Thomas Kipese na Zamoyoni Mogela.
Filotey Mogella hakucheza Simba, alicheza Yanga akiwa na kaka yake Method Mogella, ile Yanga ya Kampala ubingwa wa Africa mashariki na kati.Kizota,chuji,mogella wote
Itasaidia kuondoa umbumbumbu wakoItasaisia nini.
Mbona mnaendekeza Simba na Yanga .
Anyway ngoja tukusaidie.
1.JUMA kaseja.
2.Ivo mapunda
3.Amiri maftah.
4.Nurdin Bakari.
5. Jonas mkude.
6. Mrisho Ngassa.
7. OTHMAN Idd chuji.
8.Saido Ntibazonkiza.
Sikumbuki filotey,nawakimbuka method na zamoyoniFilotey Mogella hakucheza Simba, alicheza Yanga akiwa na kaka yake Method Mogella, ile Yanga ya Kampala ubingwa wa Africa mashariki na kati.
Zamoyoni Mogella siyo ndugu wa Method Mogella.Sikumbuki filotey,nawakimbuka method na zamoyoni
Mwameja kachezea Yanga lini?1. Emanuel Gabriel
2. Alex Masawe
3. Bakari Malima
4. Sirengo
5. Mwameja