Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasamehe bure!!Mwameja kachezea Yanga lini?
Mwingine huyu hapa wa kumsamehe bure!!Sunday Manara 'computer '
Siyo kweli: Hadi sasa kuna wachezaji wawili tu ambao inakubalika kuwa uzalendo wao kwa timu zao hawako tayari kutumikia timu hasimu kati ya timu hizi mbili kwa sdababu yoyote ile.Sunday Manara 'computer '
Ahsante sana kwa ufafanuzi huu ,umenipa kituSiyo kweli: Hadi sasa kuna wachezaji wawili tu ambao inakubalika kuwa uzalendo wao kwa timu zao hawako tayari kutumikia timu hasimu kati ya timu hizi mbili kwa sdababu yoyote ile.
1. Abdalah Kibaden (KIng Kibaden). Huyu ni kipenzi cha simba na anaipenda sana Simba kiasi ambacho hakuna uwezekano wa kuisaliti Simba na kuhamia Yanga katika kipindi chake chote cha uchezaji. Ni mchezaji pekee aliyefunga hat trick kwenye mechi za Simba na Yanga.
2. Sunday Manara (Kompyuta). Huyu ni kipenzi cha Yanga na aliipenda sana Yanga kiasi ambacho hakuna uwezekano wa kuisaliti Yanga na kuhamia Simba katika kipindi chake chote cha uchezaji. Ni fundi wa chenga usipime!!
Hawa wawili ndo pekee wanaoaminika uzalendo wao wa kweli kwa timu zao!! Waliobaki wote hamna kitu!!
Kacheza Yanga lini?Malota Soma
Hakuwahi kuwa mwananchiNteze John .
Kama Mbuyu Twitwe alivyowatandika KO makoloKama victor Costa alivyowapiga yanga Hela ZAO.........
Victor Costa Nyumba kiboko Yao
UongoooooChikokoti