Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

Upande wa pili huku shughuli imeambatana na mvua masheikh wanakula wima.
View attachment 2974947
Mamelodi kakutana na kichaa mwenzake yani pale pale ambapo Yanga alipaki Yutong ndio hapo hapo Es Tunis alipokuja kumuadhibu.
Na ndio mjue kuongoza possession sio ndio kumzidi mpinzani. Na sio kupaki yutong ni ujinga bali ni mbinu. Angalia stats za Mamelodi dhidi ya Es Tunis. Lakini aliyepaki yutong ndiye aliyeshinda
 
Attachments

  • IMG_20240427_001023.jpg
    238 KB · Views: 2
Na ndio mjue kuongoza possession sio ndio kumzidi mpinzani. Na sio kupaki yutong ni ujinga bali ni mbinu. Angalia stats za Mamelodi dhidi ya Es Tunis. Lakini aliyepaki yutong ndiye aliyeshinda
Sasa wenzako walipaki basi wakiwa na advantage ya goli Moja away.

Wewe ulipaki basi Kwa advantage ipi?
 
Na ndio mjue kuongoza possession sio ndio kumzidi mpinzani. Na sio kupaki yutong ni ujinga bali ni mbinu. Angalia stats za Mamelodi dhidi ya Es Tunis. Lakini aliyepaki yutong ndiye aliyeshinda
AZizi naye aeleweshwe kistaarabu tu asigongeshe miamba mechi muhimu.
 
Sasa wenzako walipaki basi wakiwa na advantage ya goli Moja away.

Wewe ulipaki basi Kwa advantage ipi?
Walizuia ili wafike penati halafu wazipaishe.
 
Mlipoamuwa kuwaingiza kwenye uongozi watu wa ccm mlitegemea nini?

Ccm na maendeleo wapi na wapi?
Wote tunatambua sio Mimi Wala wewe mwenye nguvu ya kuwaweka viongozi wa Club wenye mtizamo unaopingana na CCM

Labda kama unataka tuzungumze unafki ndio tutasema Yanga Haina viongozi wenye common interests na CCM
 
Sasa hapa ni swala la kuwaombea au wapambane? Inabidi wenyewe Simba wacheze vizuri ili waweze kufuzu na sio maombi
 
Beki za Al Ahly ndio zilichomesha?
Sijui nikuulize wewe unayesema credit wasipewe Al Ahly kwavile beki zilichomesha.
Hizo beki zilijishambulia?
Hizo beki ni wa timu yako mwenyewe.
 
Wanataka penalty halafu miguu mibovu aa hiyo ndio nini?
Kabisa na ndio maana hatukutaka kumfunga Mashujaa aliyekuwa pungufu ili tukamfungie kwenye penati. Hakika miguu mibovu ni janga kubwa sana kwa wachezaji wa Simba hadi Mashujaa!
 
Sijui nikuulize wewe unayesema credit wasipewe Al Ahly kwavile beki zilichomesha.
Hizo beki zilijishambulia?
Hizo beki ni wa timu yako mwenyewe.
Kwani beki za timu Yako haziwezi kufanya makosa ya kizembe?

Beki ikimpasia mshambuliaji wa timu pinzani katikati ya box na huyo mpinzani akafunga goli.

Kwa maelezo gani yanayoweza kufaa kuelezea tukio hilo pasipo kutaja neno uzembe?
 
Kabisa na ndio maana hatukutaka kumfunga Mashujaa aliyekuwa pungufu ili tukamfungie kwenye penati. Hakika miguu mibovu ni janga kubwa sana kwa wachezaji wa Simba hadi Mashujaa!
Simba ilipaki basi mechi na Mashujaa?
 
Nlikua nawashabikia Mazembe walivyo anza kupoteza mda kijinga nikahamia Al Ahly
 
Pokea maelekezo wewe kolo
Point iko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…