Tuwape pongezi Platinum Member wa Jamii Forum kwa kilichotokea

So far Platinum members kama sio mmoja basi wawili ndio takataka.

Wengi ni watu timamu na wana akili njema.

How on earth mtu anatetea mauaji? Kitu cha ajabu kukiona duniani ni utetezi wa mauaji.
Sahihi kabisa Kuna mmoja anajiita smart98 huyo ni kama sigara Kali, yana anawashwa pande zote mbili.
Huyo jamaa ni kama panya yani anang'ata na kupuliza.
Huyo Mahondaw wake atakua anamjua vizuri
 
*Na Platinum Member wengineo ambao sijawataja hakika mnastahili pongezi kwa uzalendo wenu wa Hali ya juu, ninyi ni tunu ya JF na Tanzania kwa ujumla tuendelee kuwapambania watanzania.
Mapambano yanaendelea* πŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏπŸ“ŒπŸ”¨
 
Nilikusahau ndugu, ila natambua sana michango yenu ninyi Platinum Member hapa JF.
Mmekua kama vioo vya vijana hapa JF
Ni vigumu sana kuamini kwamba watu wapuuzi puuzi kama akina Samia na Genge lake wanaweza kuja kuivuruga nchi hii iliyokuwa na matumaini makubwa sana kati ya mataifa.

Naamini Tanzania itashinda tu; hayo ndiyo matumaini nisiyoweza kuyakatia tamaa kwa waTanzania wote juu ya hali ya taifa lao.
Tutaungana pamoja tena kulikomboa taifa letu.
 
Heshima kwako ndugu Mshana Jr .
Heshima Yako ni kubwa sana hapa JF
 
Heshima kwako ndugu Kalamu .
Michango ya aina Yako ndio inawapa muelekeo vijana hapa JF na Tanzania kwa ujumla.
Tuendelee kupambania nchi yetu bila kuchoka toka mikononi mwa wauaji, watekaji, mafisadi wakina samia, kikwete na genge lao lote la kishetani
 
Lengo la JamiiForums toka mwanzo lilikuwa ni kupashana habari bila kikwazo, kuelimishana, kutoa maoni kwa uwazi, kufichua uovu, na kukosoa jamii na kikubwa ni kuileta jamii pamoja kushare mawazo bila woga kwa maendeleo ya nchi yetu.

Hapo ndipo dhana ya "The home of great thinkers" ilipoasisiwa.

Narudi kwenye mada: PM members wengi ni wakongwe, watu ambao wanaiishi misingi ya jukwaa hili na kulienzi.

Hili jukwaa ni urithi " Heritage" tunapaswa kulinda dhima na taswira ya jukwaaa hili kwa wivu mkubwa sana, huku tukihakikisha tunarithisha jukwaa hili kwa vijana.

Tumewahi kuwa na misemo/kaulimbiu zilizokuwa zinalitambulisha vyema jukwaa hili pendwa.

"Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". - Enzi za Invincible ndio Moderator humu. 😊

"JF, The Home of Great Thinkers"
"JF, Where we dare to talk openly"
 
Heshima kwako ndugu Chivundu hakika umeonesha maana halisi yakua Platinum Member.
Hili andiko lako lilipaswa kua Uzi unaojitegemea sababu lina miongozo mikubwa
 
kupongeza watoa porojo ni ulofa na kitu useless kabisa gentleman
 
MTanzania ataanzia wapi kuikatia tamaa nchi nzuri hii.

Tutaendelea kuchangia chochote kiwezekanacho nchi yetu irudi katika mstari sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…