ni vizuri kuatmbua kwamba, serikali sikivu ya ccm iko kazini.Hongera,
Natumai hutatoka kapa kama unavyotoka kapa unavyowasikiliza makada wa CCM. Utajifunza mengi sana na utafurahi.
dah,KITENDO CHA KUWADAGANYA VIJANA *KUWA JESHI LITAWALINDA WATOKE WAKAANDAMANE , HII DHAMBI NA LAANA ITAWATAFUNA HAIJALISHI WEWE NI PLTNM AU NANI
UNAONA HATARI UNAWASUKUMIZA VIJANA WAKAULIWE KAMA KUKU
R.I.P WOTE WALIOPOTEZA MAISHA ILA DAMU HIZI HAZITOENDA BURE
Nilikuwa shambani ndio naona hapa 😃😀 shukrani sana zimuendee mtoa madaVincenzo Jr Kuna ujumbe wenu huku 🤣🤣🤣 Nipo serious sana
INASIKITISHA WATU WAZIMA AMBAO HAWANA HEKIMA UNAONA HATARI ALAFU UNAMSUKUMIZA KIJANA AKAULIWE KAMA KUKUdah,
mamluki waliingizwa mkenge kilofa sana aise
😃😀😀tajiri wa kigamboni ni 28yrs
cc Vincenzo Jr
Heshima kwako ndugu Salary SlipAsante sana. Tuko pamoja kiongozi.
🤔🤔🤔🤔. Inasikitisha na kuliza sanani vizuri kuatmbua kwamba, serikali sikivu ya ccm iko kazini.
na hakuna muda wa kupoteza wala kubabaika katika kazi ya kwatumikia waTanaznia wote
Kwema kaka mambo niajePlatinum member Vincenzo Jr
Wazee wa afu saba saba wanazingua sana aisee🤔🤔🤔🤔. Inasikitisha na kuliza sana
Heshima kwako ndugu Vincenzo Jr tuko pamoja kwenye kupambania ukombozi wa nchi yetu pendwa zidi ya genge la wauaji, majambazi, mafisadi zidi ya watanzania n.k likiongozwa na kikwete, samia na wahuni wenzao wote.Nilikuwa shambani ndio naona hapa 😃😀 shukrani sana zimuendee mtoa mada
Asante sana ndugu. Ubarikiwe .Heshima kwako ndugu Salary Slip
Miongozo yenu hapa JF na uzalendo wenu wa dhati kwa nchi yetu pendwa ni kioo kwa vijana hapa JF na Tanzania kwa ujumla
Mkuu ninyi platinum members mnatakiwa muwalipe hawa machawa walau TSH 10,000 kwa mwezi ili waache hii tabia mara moja.Wazee wa afu saba saba wanazingua sana aisee
a ni uzushiJF hakuna ubaya ila kuna ukweli na uhakika, ila wewe ukianza uzushi bila uhakika ndio unaanza ubaya
Ni lazima kujivunia nchi yetu na sio kusikitika na kulia hovyohovyo,🤔🤔🤔🤔. Inasikitisha na kuliza sana
Pamoja sana ndugu, nchi yetu Sasa ni kama tupo kwenye vita baridi.Pongezi zangu ziende kwa ndugu Bulesi baada ya kutokuwepo jukwaani kwa muda mrefu ila baada ya mauaji haya ya kikatili alirejea na kukemea uhuni ule uliofanywa na bi Mwenda kwa kushirikiana na magenge ya mamluki kutoka Uganda.
Na hata huyu mwanaccm kindakindaki masopakyindi nae aliibuka na kusema hakubaliani na uhuni aliofanya jaji Mwambegele wa kupika matokeo pale NECCM ilhali kuna maiti barabarani za vijana na hata majeruhi waliotupwa mochwari ili wakafie huko angali wazima.
Pia ndugu Jasusi alisema haoni pale kiinimacho kinastahili kuitwa uchaguzi bali uitishwe uchaguzi huru na wa haki.
Tanganyika ile tuliyoijua tuliipoteza October 29, wengine hawawezi kuelewa kwa sasa ila baada ya miaka 2 mbele sote tutakuwepo hapa kama mashahidi kuona madhara ya visasi vya kisiasa kutokana na kikundi kidogo cha watu kulazimisha kutawala wakati hawatakiwi.Pamoja sana ndugu, nchi yetu Sasa ni kama tupo kwenye vita baridi.
Mda wowote kinaweza kuwaka.
Ni masikitiko!Ni lazima kujivunia nchi yetu na sio kusikitika na kulia hovyohovyo,
ni muhimu sana serikali kuchapa kazi ya maendeleo kwa maslahi mapana ya wananchi wote