Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Uko sahihi wanaosema ety waliyataka wanazngua aseeh "mtoto mgongoni ni Malaika" mimi sitetei single mazas Ila ubinadamu tuNakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Unafanya biashara Gani?Mie BIASHARA yangu ni ngumu kuliko yao
ACHA KUJIPENDEKEZA
Tafuta size yako.
HakikaBaba wa watoto wako wapi? Kuna Wakati natamani mno kuwaonea huruma lakini nyuma yao kuna wengi wameyataka na kukaidi ushauri wa wakubwa
Unafanya biashara Gani?
Taja tuNikiitaja mods watataka pesa ya tangazo la biashara
Kwa mwanaume kama wewe usitegemee utapata urahisi wowote kwenye biasharaMie BIASHARA yangu ni ngumu kuliko yao
ACHA KUJIPENDEKEZA
Tafuta size yako.
Wee mwamba jau sana πππUsipofunzwa na mama utafunzwa na ulimwengu
Nilikuwa na house girl mshamba mbutika kamaliza gongo la mboto mwisho wa lami. Anavaa vitenge mpaka kwenye unyayo..Hakika
Atauza karanga kwa siniaNilikuwa na house girl mshamba mbutika kamaliza gongo la mboto mwisho wa lami. Anavaa vitenge mpaka kwenye unyayo..
Baada ya mwezi akaanza kunawiri
Baada ya mwezi mwingine akapata simati foni. Shida ilianzia hapo
Jamani kama kuna binti ambaye nilimuasa kuhusu maisha yule anaongoza..
Lakini sasa hivi analea mimba aliyojaribu kuitoa mara tano ikishindikana.. Kapanga chumba cha giza kula yake ya kubahatisha.. Kakonda kabaki kichwa
Nawaza sana akijifingua future yake na mtoto itakuwaje