Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hii italeta utata sana hasa kwa kina RRONDONakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.
Wanaleta viumbe duniani waje wateseke bila sababu yeyote.
Ingekuwa inawezekana, Watu maskini wasizae kabisa.
Maana hawa ndio wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na gharama za serikali kuhudumia maskini wapya kila siku.