Ukienda maeneo ya posta ( morogoro road, kisutu, kitumbini) utawakuta wengi tu. Zaidi usiku na Jumapili.Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Huwa najiuliza: niwasaidie wangapi?
Kwa nini mwanamke azae kama hana financial resource ya kumlea mtoto?
Option za uzazi wa mpango zinatolewa bure clinic za serikali. Kwa nini hawatumii?