Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Lipa kodi, kodi iende kwenye elimu na afya, hutawaona huko barabarani.Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Maskini mmekuwa mitaji ya tabaka tawala, nyie mnaobeba watoto mgongoni ndio nyie mnasema mitanom tena, anatosha, alafu mnakuja huku kuomba huruma.
#kila mtu ale alipopeleka mboga.